@rj_mchambuzi: @fido vato @Yuzo Ngumu @Beat Kubwa Production @Watengwa WTC @JCB_WATENGWA @UDANI GANG @KARAKANA OPEN MIC @₵ⱧɄ₲₳🕯️MÌÐÚñÐÖ @vevoqueen1 🤍🤘 @Mopa_lee @Arusha By Nature 👊🏼
Kama Braza Fido Vato Alirushiwa Chupa Na Dogo Wa Tejo Clan na Akazikwepa Utawezaje Kumpiga Ngumi? Fido ni Hatari Kwenye Boxing Ameanza Toka hata Yuzo Hajaanza Kutembea Enzi izo za Nako2Nako ilivyoanza kina Braza Lord Eyes walikua wakitoka dojo wanapasha Ukorofi Wako Fiti Madogo Acheni Kuwachokoza Kaka Zetu Mtauwawa
2026-10-01 16:15:36
29
Captain Ciza :
Rambo ololo 4 life....💯😎
2026-10-01 09:50:27
30
livan van boy :
yuzo tunaenda kukuimbia lango mda somrefu
2026-10-01 10:08:35
23
GlovesOn :
Yuzo exercises are pure boxing. Those speed punches require a person to have a lot of stamina and enough power.💪🔥
Easy fight for Yuzo, Fido has nothing, no power @yuzo_ngumu
2026-10-01 12:15:59
14
seif chapaTz :
yuzo unamjua fido au unamsikia kaka
2026-10-02 14:25:38
12
ummy 🥰 :
kwani hili pambano lini kwani kabla hatujachelewa kutoa ushauri 😂
2026-10-15 20:12:48
8
ramadhanikashaga :
mm rambo si mkubali lkn so kwenye ngumi jaamaa asiponzwe [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-01 11:07:35
12
BrAnDoN KAbRiGaDo :
Fido ni mwepesi ila yuzo ana nguvu sana angalia jebu zake ni balaaa
2026-10-01 11:10:56
13
Nass_kennel :
Labda kwa kick boxing 🥊 kwa hapo sawa
2026-10-01 12:25:14
2
ELVES KING :
mnaakika yuzo Ayo mazoez anafanya niaya boxing? ?
2026-10-01 10:38:15
1
the cipher :
ila chuga bhna naipenda boma lang ila mzee kushindana na m2 mweny belt yake ya boxing
2026-10-01 11:00:59
5
boniphacemaingu :
hayo mambo yalinipotezea muda sana nikawa mtu wa polisi na lumande!!!
2026-10-11 15:17:27
1
saidy :
tim rambo like ziwe nying wakuuu huyu atapigika mbaya kabisa