Kwa hiyo sisi wenye tushajenga hatuna nguvu za kiume .... Na mbona walinichocha vile niko sawa 😂😂😂 ebu wach niwapigie ma ex wangu waniambie mbona walinidanganya
2026-10-01 19:35:16
5
Johannsen William :
Si rahisi being a man for a day😂😂
2026-10-02 13:47:41
4
high minded :
sahii 40k imeenda nikabaki na change ya sh290🤣🤣
2026-10-10 20:00:52
1
Kevin Kere Khisa :
Kwanza huku mirema drive hata airtime huwezi tuma home