mm siwezi skia mtu akiongea kwa simu unless iko on speaker phone😭
2026-10-01 10:36:40
4370
G. Babaa :
hii ndio last phase hakuna ingine😅😅😅😅😅😅..... next ni kauji ufunge chapter 😂
2026-10-01 14:13:57
770
leti :
halafu lazima chai ikue imechemka vizuri...🤔I can now tell how long the tea broiled by the taste.
2026-10-01 17:38:11
576
MWANGI :
anza kuandika will stage
2026-10-01 09:06:42
1225
kitavi :
sana sana kama huwa hulewi hii ndio tabia,something must kill a human being,kama si pombe ni chai,you choose your poison,yaani unahepa pombe kwa njia zote alf chai inakuandama[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy].
2026-10-03 11:08:35
2
J.M❤️❤️🇰🇪 :
kuna hii stage ya kukunywa maji immediately after taking anything with sugar
2026-10-03 08:22:46
3
shii kuh🍇 :
mimi nkikula lunch lazima nilale kidogo😂ata kama niko kwa ofisi
2026-10-02 09:03:25
1165
Wamah 😌 :
Nisipokunywa chai natetemeka naumwa na kichwa eiiiiiiiii
2026-10-01 05:45:07
1224
Mbatia mbiru 🇰🇪 :
He! i mimi niko ile lazima ni lale kwa kiti beforei go to bed 😂.. i used to laugh at my mom, sikujuwa ntafikiwa haraka ivo🤣
2026-10-02 15:34:48
75
wanjiruwakimangu :
Kuna Pia hii stage ya kujiongelesha😂
2026-10-02 09:15:22
226
Walenda :
Mimi black tea anytime kwanza iwe na lemon grass ama ginger ama cardamom or masala😂😂
2026-10-02 05:34:34
20
JANE KAMAU_ :
mimi lazima nieke loudspeaker tukiongea or I won't hear clearly . mgongo nayo inauma kila saa.. nikama nimezeeka[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-02 15:15:05
19
Anelka ☪️fx :
wale maGenz tunajitengemea chai si part of Diet[Big LOL]
2026-10-02 17:23:31
4
Nimoh :
😂😂😂Me watching this after kumaliza githeri na kikombe ya chai woi
2026-10-02 13:47:50
1
Mamake q.Ashley :
😂😂😂hii ni stage ya kuzeeka cz tell me why I can't sleep kama sijakunywa 2cups
2026-10-01 16:18:50
2
ever_2209 :
😭😭😭😭...naangalia wasichana wakikula ice-cream huku nje 5 ya jioni na 6 saa hiyo nimeshika my cup of hot tea or coffee na Sweta na poncho 😭😭...I am only 29
2026-10-01 09:05:00
162
Don Davis🩵 :
Nilijipata nikiambia watu wapunguze volume ya ngoma
2026-10-02 19:44:03
19
Lorena :
mimi nisipokunywa chai naeza tetemeka ata nikufe 😭😭😂😂
2026-10-02 11:22:16
9
Suzieh Wachira :
aki mtu huzeeka kama mchezo saa hii ni Mimi sipendi kelele za ma radio, hata gari za tao huni irritate
2026-10-03 10:11:08
5
Rael♡ :
ikifika 3pm plz vaa sweater ..baridi inaua watu wazee😂😂😂