Hadi nikagoogle about stomach cancer nilikua nadani ninaumaliza mwendo
2026-10-01 17:32:02
28
CHEBET :
nlienda hosi daktari ananipea list ya vitu sifai kula 😂 kuaribu ati nisitumie chai ya majani nlitoka nje kwanza😂
2026-10-01 19:51:43
35
betty kawira :
Kama hujapata gastritis hakuna hearbreak that thing is hell i week okey 1 meal inarudi factory reset upya
2026-10-02 04:32:14
3
ridge Royce :
nliumwa na tumbo usiku saa nane ikabidi nitulie ningoje kufa 😂😂 thank God I'm still pressing on nkiwa nmepona 🙏
2026-10-01 15:10:44
7
Cyraa KE :
I was about to write a will
2026-10-10 07:18:07
1
Joy Njeri :
Mimi nimetumia zikazoea mwili nikama madaktari awataki kutuambia hizi dawa haziponyi alafu chakula unapimiwa zenye utakula na bado uponi nimechoka bana kwanza wamenipima wakasema Iko severe chronic gastritis and hpylori nani nataka mtu atanipea moto bana nimechoka
2026-10-02 08:38:18
3
Fancy 💖🩸💝 :
So hakuna mtu anateseka na Acidity hapa 😭💔💔
2026-10-03 10:40:35
2
Ekim oridi :
nishawai umwa mwili wote hadi kwa nguo navaa🤣🤣
nilijuwa nakufa wakati wowote that day💔🙄🤔
mind you nilikuwa natumia kit🙆♂️🙄
kama sikukufa that week,sidani kama nitakufa hivi karibuni🤣🤣🤣
2026-10-01 13:45:26
14
Nellie :
hii kitu umetoka wapi ?? ama ni msimu 😳
2026-10-01 16:40:32
5
Malkia kimaro :
mi nilijua nime logwa😁😁😁 nika pima ukimwi , ini , figo , moyo kla ktu
2026-10-01 13:11:51
5
Kui 🌹 Mash :
woi karibu nimalize mwendo 😂 yani unameza dawa ya kichwa after 5 min isha anza Tena 😂
2026-10-01 19:39:31
7
heaven@blessy :
walai mimi nilidhani ni ukimwi nilijiwaza nikauliza mungu mambo mingi nilipotea njia nikienda home hadi nikauliza boda ndio alijua home akanipeleka
2026-10-01 06:50:25
6
Kui Gathaiya :
ndio hii yangu ni the 2nd kit buana🤣🤣🤣
2026-10-02 16:28:28
1
msoh 🥰💓 :
mbona sisikii mkiongea kuumwa na shingo na kichwa Wacha tu siku ya tatu nlikua naona nikilala ni kuenda zayuni.
2026-10-03 04:15:52
2
Priyanka~ diaries💗🌷🌸 :
😹😹😹😹isw unaamkia izo Dawa asubuhi afu unavomit jiiiiii hovah afu iyo taste inashinda Kwa mdomo the whole day😩
2026-10-02 04:59:40
3
sarah :
weuh naogopa ata kusoma hiyo word ya H pylori
2026-10-01 17:46:03
1
kinjo#pinkie# :
hpylori nayo inaeza kumaliza,mara nausea ,back pain,no appetite, weight loss hii kitu ni mbaya
2026-10-03 05:59:06
0
🐾 :
Hizo dawa nikubwa,eloooi elooi lakini nimemaliza wakuu
2026-10-02 10:57:07
0
call.me.nehmy🎀🦋 :
na inapona kwelii🤣🤣 nikam yangu imerudi tena🥺
2026-10-02 07:50:23
3
chesang ❣️💎🇺🇬🇰🇪 :
Hpylori can humble you eeeeeh, nowadays am mama kanisa
2026-10-05 02:22:09
1
Nje-ri☮️ :
wale tumekunywa dawa za pressure tukae wapi😅😅😅
2026-10-02 08:33:35
1
Esther Belinda :
Hii inafanya uambie mungu nichukue tu 😂
2026-10-02 03:46:41
2
pk :
the only thing that helped me was probiotics and specifically kefir milk
2026-10-02 10:20:58
1
💫Maggie.Miels✨🌸🐝 :
ndo nataka kuianza [Tears of joy]
2026-10-01 15:37:35
1
favour :
my hubby alikuwa na H pylori 🙄nilikuwa naona mwendo ameumaliza🥺karibu ni mpee kalamu aandike Will 😎
2026-10-01 16:58:58
4
To see more videos from user @consultant20242, please go to the Tikwm
homepage.