Nilikaa na mama angu kma lisaa baada kumaliza kumuosha Alhamdllah Subra tu ila sisahau😌🥺🥺😭
2026-10-01 19:07:47
7
Esha :
Allah amsamehe bibi yangu. Sio kukaa tu kalibu nilijikuta naibusu maiti yake bila kujali inadamu mana alipata ajari ni subra ila siwez kuisahau ilesiku mpk nakufa🥺😔💔
2026-10-02 09:18:34
8
_.Pharherr :
Alhamdulillah Allah atupe subra na nguvu 😭🫂❤️🩹
2026-10-02 07:01:55
4
user8871322037421 :
ya rabby msameh mume wang kipenz allah amrehem na ampe khatma nnjem
2026-10-01 22:28:29
2
kisfat7 :
nikikaa kweny jeneza la baba yang mung amrehem huko alipo amjalie pepo iwe ndio makaaz yake ameen 😭😭😭
2026-10-01 17:17:11
5
Luiz🍂 :
Aisee bor muyasikie 2 kwa watu kuliko kuwafik.
2026-10-01 12:18:47
2
༺سعدية༻ ❤️ :
💔🥹
2026-10-01 13:55:01
2
🦋ت :
hiyo ndio kitu ambacho kinauma kuliko kitu chochote kweny hiii dunia 💔👨🥹🥹
2026-10-01 10:05:51
2
cute chaby :
Allah awa rehem walio tangulia
2026-10-01 19:56:53
7
mr.nonesense :
Grandma😭❤️
2026-10-02 08:13:30
4
babejoy🧕☘️ :
inauma wallah staki kujikumbushia ayo maumivu🥺
2026-10-01 14:41:05
1
Mimah Caruso :
pole abubugy wangu
2026-10-01 14:19:58
1
PrimeConectionZNZ :
pole sana utapata aliyemwema
2026-10-01 16:31:35
1
🫧Tiffah Dee🥷❤️ :
2026-10-01 14:37:45
1
Mamaiyyah3 :
2026-10-02 13:02:25
2
روقية👑🌹🤍 :
😭😭😭😭😫
2026-10-01 15:16:44
1
Leeeh 🖇️ :
Achaa Iy kipenz kuna hiii ya kumpoteza mtuu wathaman katika maisha yako 🥹🥲
2026-10-01 12:52:52
1
NanaCollection🛍️🛒 :
2026-10-03 20:57:00
1
assly🥰 :
mwalim wang kipenz chet allah akupe kauli thabit namswalia uku natetemeka[Teary eyed][Teary eyed]
2026-10-02 15:26:51
1
It's muneera❤️🦋🧸 :
Uwii🥹🥹🙌🏻
2026-10-02 12:01:59
1
DOTII🧕🖇️ :
🥹🥹🖇️📌ni kipnd kigum but InshaAllah kinapita🖇️📌🥹
2026-10-02 10:06:34
1
salmar-19 :
2026-10-02 18:16:56
2
Glamore luxe✨🤍🌸 :
Jaman acheni tu💔😭
2026-10-01 16:15:21
1
To see more videos from user @swezly_26life, please go to the Tikwm
homepage.