@victor_mwambene: MATAJIRI WENGI WANAJENGA UTAJIRI KUPITIA BIDHAA HIZI 4 💰. Kama unataka kujenga utajiri kupitia biashara, usifikirie tu “Niuze nini?” Fikiria pia aina ya bidhaa unayouza. Kuna aina 4 za bidhaa ambazo zinaweza kukupa nafasi kubwa ya kujenga biashara yenye thamani: 1️⃣ Vyakula na Vinywaji 🍚🥤 Ni bidhaa zinazohitajika kila siku na zina soko kubwa. Tanzania tuna mifano ya wafanyabiashara kama Mohammed Dewji na Said Salim Bakhresa, ambao biashara zao zinajumuisha kwa kiwango kikubwa bidhaa za vyakula na vinywaji. 2️⃣ Bidhaa za Teknolojia 💻📱 Teknolojia imekuwa chanzo kikubwa cha utajiri kwa baadhi ya mabilionea duniani. Fikiria Bill Gates, Mark Zuckerberg, Jeff Bezos na Elon Musk. 3️⃣ Bidhaa zenye Utofauti na Ubunifu 🚀 Bidhaa inayotatua tatizo kwa namna tofauti, yenye ubunifu mkubwa au ambayo si rahisi kuigwa inaweza kujenga nafasi ya kipekee sokoni. Fikiria ubunifu unaohusishwa na kampuni kama SpaceX na Neuralink. 4️⃣ High-Value Products 💎 Hizi ni bidhaa au huduma zenye thamani na bei kubwa. Huhitaji kila mara kuwa na maelfu ya wateja—ukiwa na bidhaa yenye thamani kubwa, wateja wachache wanaweza kutengeneza mapato makubwa. 💡 Somo kubwa: Usijiulize tu, “Niuze nini?” Jiulize, “Ni aina gani ya bidhaa inaweza kunipa nafasi ya kujenga biashara kubwa na utajiri wa muda mrefu?” 📌 Save post hii na share na mtu anayejenga biashara. . @moneytalktz . @victor_mwambene . #Biashara #Ujasiriamali #Utajiri #BusinessTanzania #Entrepreneurship FinancialEducation VictorMwambene

CFE. Victor Mwambene
CFE. Victor Mwambene
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 05:30:30 GMT
185796
10349
187
296

Music

Download

Comments

wamagangameupe
Mhogomchungu :
Energy drinks zimauwa figo
2026-10-03 00:26:25
0
user4213362352605
reggy :
vp wewe mbona kwenye list haupo nitakuaje tajir mm[Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-02 17:16:17
0
nichoraus57
Nichoras@75 :
Broo we tajir namba ngapi!
2026-10-01 10:02:22
44
directorneddy
Director Neddy :
bro go straight to the point.. intro ni ndefu sana .. there's no time
2026-10-01 06:42:37
29
masely2018
Masely :
Nauliza tu, katika hizo wewe unafanya biashara ya bidhaa gani kati ya hizo???
2026-10-01 08:07:36
11
leem2024
Leem :
Msipoteze muda wenu kutafuta utajiri. Tumia muda kuishi na ndugu na familia yako zaidi. Maisha ni mafupi sana!
2026-10-01 12:29:31
8
morice64993448
MORICE OFFICIAL OP TZ 🦺🦺. :
weunafanya ipi kati ya hizo kiongozi?
2026-10-02 18:12:13
2
its_savage2
YOUNG SAMY :
Ongea haraka harak bhna
2026-10-04 04:11:49
0
god_lysten
god_lysten :
Bro unaongea sana … tema point mapema tuu ..no offense
2026-10-03 19:08:21
0
sika_mkorea
Mkorea25🧢 :
we nibilionea wangap saa
2026-10-01 07:05:23
5
budah79
Lim 💔💣 :
NA WW KUWA SASA🥺🥺
2026-10-01 14:26:24
1
bashiri.official27
bashiriofficial :
unaongea saana ongea point chache zenye maana
2026-10-01 14:52:32
3
jahazmi4
Jahazmi :
Kwa mo anauza ama anazalisha ,tofautisha
2026-10-01 16:22:11
1
charzbramour530
#Charlzbramour :
wewe v tajiri😅
2026-10-02 17:44:13
1
monster80468
The1ManArmy :
kaka we una tuuzia vitabu kwanini usifanye izo biashara uwe bilionea
2026-10-01 17:32:38
1
smartboy_one2
Abunailly :
ehee baada ya hapo wewe ukawa tajiri wa ngapi?
2026-10-02 13:14:05
1
josephmollel3
jowzey1792 :
wew unafanya ipi
2026-10-01 15:38:49
1
tubundamboko616
tubundamboko616 :
ok
2026-10-03 19:00:54
0
gwaluganomwasony6
G7L :
bro kwanini usifanye wewe au we upendi utajiri mwenzetu😆😆😆
2026-10-02 15:12:35
4
prosperty20
PROSPERTY :
we umefanya ivo?
2026-10-01 07:03:22
1
igigo.kulwa
KING MNYANTUZU :
vitabu vyako navipataje
2026-10-03 19:29:44
0
bigboys602
big boys of tz🇹🇿💫💫🙏 :
tajili wakwanza nani
2026-10-04 00:20:42
0
kambalekiboko5
kambale kibogo :
ok
2026-10-03 21:00:32
0
jux12640
JUX J.B :
2026-10-03 19:58:05
0
vigorous324
vigorous :
nakufatilia sanaa
2026-10-01 06:22:32
1
To see more videos from user @victor_mwambene, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About