"A good dancer knows when to leave the stage" Ronaldo anashindwa kuelewa hilo.....Messi ni good dancer kwasababu ameondoka bado wanamhitaji na bado anauwezo uwanjani Tena Mkubwa sanaa
2026-10-01 12:22:57
7
𝑴𝑶𝑴𝑼25 :
Watu wanadhani CR ananga'ng'ana na mmesahau baada ya kombe la dunia shirikisho la soka la ureno Walimtaka asistaafu jamani tumesahau au kwasababu Cristiano alafu kingine FIFA wanamdogosha makusudi hili aonekane WA kawaida watumia kila njia yan
2026-10-01 14:04:18
2
Living_hance🌍 :
mtazamo wangu amechokwaa
2026-10-01 18:00:45
3
immanuelmagina :
is Only MESSIIIIIIIIIII
2026-10-01 09:27:19
3
mannigah :
mchambe kwanza uyo Ronaldo mbn anatuzoea🤣🤣
2026-10-01 09:50:18
6
🏆Bestboy⚽️⚽️⚽️🎮✅️ :
natamani ungekuwa unaujuha mpira dada angu kuna vitu vingi amefanyaiwa
2026-10-01 15:20:41
0
ChrispinBitegeko :
mlimdanganya tu cr7 sio wa kiivyooo
2026-10-01 18:41:01
1
john :
Ronaldo ni bora kuliko ata ata wachezaj wote wa portugal
2026-10-01 12:03:05
0
Official_Sharukhanbubu :
alishasema kabla ya tukio nipo teyali kuisapot timu yangu,,, na wasiponitaka nitaondoka na mwanaume hapindish maneno lazma atimize
2026-10-01 17:15:46
0
kudra :
😂😂😂 Aachie ngazi kama mwenzee Messi
2026-10-01 10:18:01
2
papy love ❤️ :
aende tu jaman uzee sio mchezo
2026-10-01 09:35:07
2
Asam_yakuza :
2026-10-01 09:52:11
3
Bayser :
Dah ety mashindano ya Goat wakati bakukua na debate.
2026-10-01 11:55:11
4
To see more videos from user @jescamhagama_, please go to the Tikwm
homepage.