@makumbaspiritualhome: Hellow October...❤️🎉 🌙 SIKU ZA BAHATI KWA NYOTA ZOTE — OCTOBER 2026. Utangulizi October 2026 imeingia na energy ya 2. Baada ya mwaka unaobeba vibration ya 1 — mwanzo, kujitegemea, kujijenga na kufungua njia mpya, October inatufundisha upande mwingine wa safari ambao ni: 1.USHIRIKIANO. 2.MAHUSIANO. 3.INTUITION. 4.PATIENCE. 5.BALANCE. Huu si mwezi wa kukimbizana na kila kitu bali ni mwezi wa kusikiliza, kuchunguza, kuchagua na kujua ni nini kinaendana na wewe kabla hujakipa nguvu zako. ENERGY YA 2 INAKUFUNDISHA NINI LEO DEAR ONE🙏?!: 1. Usilazimishe connection. Si kila mtu anayekuja kwenye maisha yako anapaswa kubaki. 2. Sikiliza intuition yako. October inahitaji zaidi uwezo wa kusoma mazingira kuliko kukimbilia majibu. 3. Jifunze kupokea. Kuna tofauti kati ya kupambana kwa kila kitu na kujua wakati wa kuruhusu mambo yaje kwako. 4. Linda emotional balance yako. Usiruhusu mood ya mtu mwingine iwe ndiyo inayoamua siku yako. 5. Chagua partnerships kwa hekima. Energy ya 2 inahusiana sana na connection, lakini connection nzuri siyo connection nyingi. 6. Patience siyo weakness. Wakati mwingine kuchelewa kwa jambo siyo kukataliwa kwake; ni muda wa kuliruhusu lijipange. 1. OCTOBER INAANZA NA MWANGA UNAOPUNGUA? 3 OCTOBER :THIRD QUARTER MOON Hii ni energy ya review, release na clearing. Ni wakati mzuri wa kujiuliza: Ni nini nimebeba ambacho hakina nafasi kwenye October yangu? Ondoa: 1.resentment 2.emotional clutter 3.promises zisizo na direction 4.connections zinazokumaliza 5.mipango ambayo umeendelea kuibeba kwa mazoea tu. Key:Usiingie kwenye mwezi mpya ukiwa umebeba mizigo ya mwezi uliopita. 2. NEW MOON — 10 OCTOBER Tunarajia ifikapo tarehe 10 OCTOBER kuwemo ndani ya NEW MOON. ZINGATIA: New Moon ni mwanzo wa lunar cycle mpya; kwa Dar es Salaam na Tanzania yote inatokea 10 October saa 6:50 jioni. Hii ndiyo siku ya: 1.INTENTION. 2.PLANNING. 3.RESET. 4.NEW DIRECTION. Andika kile unachotaka kujenga, na si lazima kila mtu ajue. Intention si announcement.hivyo andika: unachotaka kuanza/kuanzisha. unachotaka kuimarisha unachotaka kuacha unachotaka kuvutia aina ya relationship unayotaka financial direction unayotaka peace unayotaka ndani yako. NB:“Usitangaze kila mbegu unayopanda. Baadhi ya vitu vinahitaji kukua kimya kabla havijaonekana.” 3. FIRST QUARTER 18 OCTOBER. Hadi kufikia 18 OCTOBER ,tayari tutakua kwenye FIRST QUARTER MOON. Hapa tunatoka kwenye intention kwenda kwenye actions. Kwa Dar es Salaam, First Quarter ni 18 October saa 7:12 jioni. Hii ndiyo sehemu ya mwezi ya kujiuliza: “Nimeandika intention yangu. Sasa nimefanya nini?” Usiishie tu kuandika , kuomba na kusubiri chukua hatua/ wajibika ndio utaona faida ya kuamini kwenye nguvu za ulimwengu na energy zake. Piga simu. Tuma proposal. Anza project. Fanya application. Fungua account. Anza lesson. Anza healing process. Energy inahitaji movement. 4. FULL MOON — 26 OCTOBER. Naaam,kufika hapa sasa tutakua tunaitarajia full moon mnamo tarehe 26 OCTOBER kwa mwaka tulionao. Full Moon inafika 26 October saa 7:11 asubuhi Dar es Salaam/Tanzania Hii ni point ya illumination, mambo yaliyokuwa hayajaonekana yanaweza kuwa wazi zaidi kwako. Jiulize: Nini kimekua? Nini kimefika mwisho? Nini kimejidhihirisha? Nani ameonyesha position yake? Mimi nimebadilikaje? Usitumie Full Moon kwa kulazimisha majibu. Tumia kwa kuona ukweli ulio tayari kuuona. ZINGATIA: Locations ulioko masaa yanapishana duniani. 5. TAREHE ZA BAHATI KWA NYOTA YAKO. Kila nyota ina tarehe zake za kutumia kwa mipango, intentions, business, safari, maamuzi, healing, dua na mambo muhimu kulingana na energy yake. ♈ PUNDA 3, 12, 21, 30 ♉ NG'OMBE 5, 14, 18, 27 ♊ MAPACHA 7, 11, 20, 29 ♋ KAA 2, 9, 16, 25 ♌ SIMBA 1, 10, 19, 28 ♍ MASHUKE 4, 13, 22, 31 ♎ MIZANI 6, 15, 24, 30 ♏ NG'E 8, 17, 21, 29 ♐ MSHALE 3, 12, 18, 27 ♑ MBUZI 5, 14, 23, 31 ♒ NDOO 7, 16, 20, 28 ♓ SAMAKI 1, 9, 18, 27 JINSI YA KUTUMIA TAREHE HIZI. Usizitumie kama guarantee kwamba “leo lazima nipate pesa.” Zitumie kama energetic markers za kupanga maisha yako. Wakikuuliza nani amekupa habari hizi usisite kutaja majina yangu na kuniombea. Kwa Tiba/Dua/Ushauri No.on Bio.
MAKUMBA SPIRITUAL HOME
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 06:06:32 GMT
Music
Download
Comments
fety"fatuma💞 :
samahan mm sijaelewa nanimzaliwa October 20 please nieleweshe
2026-10-01 11:55:49
1
ISSA :
Santee 🙏🙏
2026-10-01 09:25:18
1
Shiboli :
Asante sana
2026-10-01 07:54:39
1
@charzmtukajr :
wow nadhani nitaprove hyo tarehe sita kama ni kwelii maana kuna jambo la muhimuu mno litatikiii ??? lets waits
2026-10-01 19:18:28
1
Kokusweetie Sweetie :
Shukran, Finnaly October is here😘
2026-10-01 12:26:16
1
GiZ Frankfurt :
ubarikiwe tena na tena
2026-10-01 14:38:34
1
mish bonge :
naomba ikawe kheri inshaallah nakila kitu kikatimie na visivyohitaj8ka vikaondoke inshaallah
2026-10-02 07:20:58
0
MAKUMBA SPIRITUAL HOME :
Tag someone you care .
2026-10-01 06:07:46
1
To see more videos from user @makumbaspiritualhome, please go to the Tikwm
homepage.