mzee tangaza viatu bei gani achana na habari zisizo na maana aisee viatu bei gani
2026-10-01 10:11:21
11
Mayachris12 :
Watoto hawajafa hawakuwa kwenye hiyo safari, Amefariki wicknell chivayo mwenyewe, mkewe Lucy muteke, msaidizi wake Aide, marubani wawili, pamoja na abiria mmoja nje ya familia hiyo, hii ni kutoka kwa msemaji wa familia Herbert chivayo, tujitahidi kufatilia taarifa vizuri
2026-10-01 08:59:56
12
SAIDI ABDALLAH ❤️ :
Kwa nini halotel awakopeshi pesa
2026-10-01 08:46:02
5
Kasyele jr :
all in all sote ni wa Mungu
2026-10-01 09:08:41
2
ModestaZ7 :
duuh
2026-10-01 07:17:11
2
G'mumus :
mwenzako niko busy na viatu hapo.
2026-10-01 08:00:20
4
Beautifull condo :
rorexy ni nini?
2026-10-01 09:54:39
1
Alfacusser. (PhD) 📚 :
umeongea point mwanangu🫵🫵😅😅
2026-10-01 08:55:27
1
Tatu Mabara123 :
shigap viatu
2026-10-01 09:33:38
1
My Life Still My Life :
YBWYB 🐊 24
2026-10-01 08:16:11
1
polina :
nashinda kuelewa Dr
2026-10-01 08:22:17
1
Vivian :
Tangaza biashara hyo bana boss kaenda si bdo tupo
2026-10-01 10:51:36
1
Frank Awilo :
mungu akurinde kaka kwakutoa herim
2026-10-01 08:37:30
1
jabbaliy :
kama ulikuwepo viatu
2026-10-01 08:42:13
0
Abigael Mabondo :
ndo tujue Fedha hazina thaman
2026-10-01 09:15:00
0
Musenge Kwetu :
🥰
2026-10-01 08:26:41
1
user6962749938024 :
Asante [Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-10-01 07:57:47
1
riziki iddi💕 :
viatu sh ngapi??
2026-10-01 08:33:35
2
Pearl Adella :
xa watu wakumbuke kuishi au wakumbuke Kuna hukumu baada ya kifo
2026-10-01 08:59:00
0
user4265312935694 :
kinachoniuma hakubakiza mtu wa kula mali zake ndugu wakauwane sasa
2026-10-01 08:05:04
2
Agness maganga :
mi nikijpata tutakua tunapanda usafiri tofau na familia
2026-10-01 08:46:50
0
Nuuh :
umetishaa kama msanuaji vile
2026-10-01 08:45:34
0
marry17453 :
Sasa je mungu kajibu 😂😂😂😂😂😂😂😂@
2026-10-01 07:53:32
1
kevianne mbeyu :
nataka izo viatu hapo nyuma
2026-10-01 07:46:17
2
frolenciamichael :
Tupe Bei ya viatu bro
2026-10-01 10:30:05
1
To see more videos from user @jeffstarshoes, please go to the Tikwm
homepage.