@binaupdates: Dotto magari anasema kupitia kifo cha bilionea sir wicknell na familia yake yote kuna watu inabidi wajifunze hasa mwijaku anapapatia watu saba
wamekufa hata mabaki hakuna kabisa.Bora uwe karibu na Mungu ndo Mila kitu
2026-10-01 07:26:03
281
regin sinkala +nakamba :
kweli mungu ndoo anajuw mwisho wetu
2026-10-01 06:57:41
200
Chidy :
tunaomba na Halotel wawe wanakopesha
2026-10-01 07:30:54
217
jane :
tusiwe tukitembea na familia zetu Kwa gari moja ama ndege
2026-10-01 08:08:12
31
officialchandrica :
Me najiuliza watoto wameponaje umbali wote uwo
2026-10-01 15:15:01
6
BEA SIMBA :
na wewe kama mwijaku keep on smile let him go in god we trust 🙏💪
2026-10-01 19:52:39
0
MissOli👩🦰💞 :
unajuwa nn kuishi na watu vizur na kusali ndo mpango mzima
2026-10-01 08:26:43
58
Kaykay🥰 :
Tumtegemee Mungu siku zote
2026-10-01 07:38:47
37
Jiggah :
maliza kwanza video comment zipo tu
2026-10-01 17:30:28
6
King Baldwin sheshe :
Yan doto anakujiuliza amesema stak niteseke ety mwijaku [Laugh approved]
2026-10-01 10:01:53
0
6baby :
ndo maana bible inasema usimtegemee mwanadam ...mtegemee Mungu maana yeye hafi, hafukuzwi kazi, haumwi wala haishiwi.😔🙌🙏
2026-10-01 09:18:01
23
Reghan :
kuna kitu niliwah kuskia kile ulicho nacho au unachokitafuta au unachokimiliki ndicho kitakachokuuwa💯📌
2026-10-01 09:41:48
6
Barack Orgenecy :
tekinisheni ndio nini
2026-10-01 07:10:59
77
JSM " Le roi de la theatre" :
Kweli kabisa. Ila mungu Bado yupo!!
2026-10-01 06:55:18
55
MRS N. LEMA :
kweli Babu nakupenda sana unaongea ukweli
2026-10-01 06:59:12
35
Model shri :
Mimi nimemwambia mwanaume wangu ukweli kwamba nimegundua kuwa ana mtoto japokuwa yeye alinidanganya kwamba Hana , eti kaniacha sasa kumkosoa mtu ni kosa? eti watanzania nisaidieni hapo nani anamakosa jamani ?
2026-10-01 13:12:54
6
Ahmedyramaar :
kuna watu wako hospital wanapambania uhai kwa msaada tu na michango ya wat lkn m mungu alivyofundi anamchukua bilionea mwenye kila kitu,allah akbar