@eng.didasshills: Tamko lako la Oktoba: “Mwezi huu sitarudi nyuma. Ninaamini Mungu anafanya jambo jipya katika maisha yangu. Kile kilichokufa kitafufuka, kilichopotea kitarejeshwa, na milango ambayo Mungu ameikusudia kwangu itafunguka. Nitaona wema wa Bwana katika nchi ya walio hai. Katika jina la Yesu, Amina.”
🫧didass hills🧢
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 07:20:26 GMT
Music
Download
Comments
Sheila idd :
amee kweli kabisa mm nimeanza kupokea jana
2026-10-01 07:59:44
72
It’s me G.e.e🧸❤️🩹.. :
Mwezi huu nimeanza nakilio toka ulipobadilika mbk sasa bad nalia
2026-10-01 10:05:03
19
Ney cosmetics 🌸❤️ :
Amen and Amen 🙏
2026-10-01 08:49:12
0
Angeamina :
Ameeeen
I received in the name of Jesus Christ 🙏🙏🙏
2026-10-01 09:34:19
1
🦋oficial ma chuga☠️ :
ameni na pokea kwajina layesu
2026-10-01 07:23:44
92
Op Saloh ❤️🦺 :
Kwel kabisa nimepokea mapema tuu ❤️🥰🙏
2026-10-01 08:42:31
18
Mackie :
Ombi langu la kwanza mwezi huu Mungu aepushe Elnino🙏
2026-10-01 10:48:29
25
Msusi -Astar_Haddasah 🇰🇪 :
my gratitude month
my fulfillment
my blessing
my abundance of grace
ps 103
2026-10-01 08:31:54
7
shukuran :
ameeeeeeen🙏🙏🙏🙏
2026-10-01 07:24:10
15
spice.dee.94 :
Amen Amen🙏🙏be blessed ❤️
2026-10-01 09:42:46
1
reene :
amen amen and amen
2026-10-01 10:32:53
1
Pricilla 🍎🍎 :
Amina napokea katika jna ka yesu
2026-10-01 19:11:08
7
ribbon gurl :
Amennnnnnnnnnnnnnnnnn😔🙏🥰
2026-10-01 10:08:36
1
Kidotie❤🫂🤗 :
Amen napokea kwa jina la Yesu❤️🙏
2026-10-01 07:26:19
9
leahnation8 :
Napokea kwa jina la YESU🙏♥️
2026-10-01 09:25:42
7
Elizabeth shiyo :
Amina🙏napokea nehema kwajina la yesu
2026-10-02 07:10:02
1
Jojo🦋 :
Amina naomba nipokeee jmn 🙏🙏
2026-10-01 09:48:41
1
@Dorice Shoo🦋 :
Amen Amen Amen
2026-10-01 07:36:06
5
DestinGlory🩵😊 :
Napokea kwa jina la Yesu🙏🙏
2026-10-01 09:26:07
1
Mary-kisoka90🌹 :
AMEN kama itawapendeza wapendwa someni kuanzia Isaya 43:18-19 🙏
2026-10-01 18:50:11
4
sumagirl😇🥰 :
Amen napokea
2026-10-01 16:30:44
4
joycejeremiah :
ameen napokea kwa jina la yesu ameeeen
2026-10-01 09:08:47
2
mimi :
Amen,ahadi itatimia kwasababu ulimwamini
2026-10-01 09:27:40
1
Heriethtailoring :
Ameen napokea 🙏🙏🙏
2026-10-01 10:14:58
1
✨️🧸it's🏀Mimah❄️🫧 :
leo ni siku ngumu sana kwangu nimeanza na majonzi nahisi nimeshindwa tena Mungu anikumbuke😭😭😭
2026-10-01 11:25:55
1
To see more videos from user @eng.didasshills, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.