@clinico_care: 👶🔊 SAUTI ZA MTOTO ZINA MAANA GANI? Mtoto akilia, kuguna, kupumua kwa sauti au kutoa sauti tofauti, si kila mara ni kawaida. Katika video hii tumeeleza sauti mbalimbali ambazo mtoto anaweza kutoa na maana zinazoweza kuhusishwa nazo, pamoja na wakati mzazi anapaswa kuwa makini. 🩺 ❤️ Mzazi, usipuuzie mabadiliko ya sauti ya mtoto wako. ▶️ Tazama video hadi mwisho, jifunze na mshirikishe mzazi mwingine. #AfyaYaMtoto #Mtoto #ElimuYaAfya #ParentingTips #ClinicoCare

Clinico Care
Clinico Care
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 08:34:56 GMT
115017
3808
162
936

Music

Download

Comments

emalasryc5k
glory :
oh my God I haven't notice that..neither my mom didn't knew to me
2026-10-01 15:10:02
1
dii269679
Baby_Dii🦅 :
naam niko hapa Waa[Heartwarming]
2026-10-01 17:33:53
1
yasinta4303
yasinta :
awo wakizungu tufundishe wa ki Tanzania
2026-10-01 16:33:08
31
user527092331482
vivianeth🌺🌹 :
ngoja niisevv Kwa ajili ya 2060
2026-10-01 17:24:28
6
user5244401607583
Imanh🥰 :
jmn mm wangu analia nnhee baba yake anamwambh sema tatu bnh kila siku nnee kumbe ni njaa jmn🥺🥺🥺🥺
2026-10-01 14:34:59
57
anastar426
Anastar :
kuna wangu analia hiyo milio yote kwa mara moja sasa nitawezaje hayo yote 😂😂
2026-10-01 17:26:25
8
ishaarisasi
Aisha beauty👄❤ :
nimesave nikijaga zaa itanisaidia
2026-10-01 15:11:05
5
cutemimah09
cute mimah :
🥺🥺🥺 I wonder 😂😂
2026-10-01 15:48:33
0
neemawageorge
NEEMA :
ngoja nisave itanisaidia may
2026-10-01 15:42:09
4
bills_steve
bills :
na mm ninavyoliaga jee😅😅
2026-10-01 15:43:17
5
user35173734087947
[email protected] :
Yaani tutawalea na tiktok mpaka washange🤣
2026-10-01 15:03:14
4
haniphaothman4
H.💝. MP :
tutakao kuja kufanikiwa kuzaa apo mbeleni uuuwiiiiiiih sijui itakuwaje maana kila kitu mtandaoni 😂😂😂 Hadi jinsi ya kulea na kutunza watoto tunafundishwa 😂😂😂😂
2026-10-01 14:28:40
13
hajara_257
hadjara :
🤣🤣🤣🤣asante
2026-10-01 15:54:37
1
ashurey.jg
MRS JUMA☝️🔐💍💕💕 :
MUNGU alivyo wa ajabu akilia vyovyote najua anataka nn bila hata kusomeshwa na mtu the meaning of BEING A MOTHER🥺🥰🥰🥰🥰
2026-10-01 16:01:03
4
qt_ina1
Angeliyou🥰 :
Kuna mtu amesem tufundishe hawa wetu wa kiswahili😂😂😂
2026-10-01 16:57:01
3
mrs63790
rosemary🥰🥰🥰🥰 :
aya mama
2026-10-01 15:14:45
1
may.may00768
may may007 :
asante dr mafunz nmepta bdo mtot sas🥰
2026-10-01 14:51:54
2
naitham66
🥰naitham💕💍michael :
unamcheulishaje anae jua
2026-10-01 17:24:55
0
ombeni.david8
Mrs D :
Asante
2026-10-01 15:43:44
0
chagagirl.mrema
💥Dayana💦 :
Mwenyewe nilikua nalia hivohivo saii😂😂😂😂kila nkilia najiona fala
2026-10-01 16:52:18
1
miss.gracecooks
Miss Gracie :
kumbe 😂 basi ntakua makini
2026-10-01 13:01:49
2
momotz007
MOMOTz👑 :
elimu nishapata bado kuzaa
2026-10-01 18:02:53
0
hadasa6423
Hadasa💖 :
kuna mtoto wa dada yangu analia zote kwa pamoja yaani mpaka tunaamka wote kubembeleza
2026-10-01 17:54:30
0
0765.8488.66
salim :
na akilia na baba mtoto je
2026-10-01 17:59:03
0
zebaztiane67
@zebaz :
namcheulishaje?🥺
2026-10-01 17:57:38
0
To see more videos from user @clinico_care, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About