kaka ccm kama haijaondoka madarakan tutaendelea kutesekatu
2026-10-01 10:35:31
75
Khamis Sharif :
Zanzibar is my home but Zanzibar life is very expensive🔥🔥💯
2026-10-01 12:37:42
27
LutfiMazrui :
Nchi hii inachojua ni dhulma tu, hakuna chengine.
2026-10-01 10:03:44
104
Mapozi :
Tulio wengi tunapenda kubeza ila bro anaongea uhalisia ila Kwasababu ya mihemko yetu ya kisiasa ndio tunatoa majibu hayo
Nchi haikuwi kiuchumi kwa mamalishe
Ila kwa mwenye uwelewa huyu broo yupo straight
2026-10-01 15:07:14
26
Mr Balad :
Bro unalaumu sana serikali km vile hakuna cha maana kilichofanyika usiwavunje moyo viongozi
2026-10-01 11:01:43
31
Shaaban Salum :
tatizo zanzibar saiv ninaendwesahwa na mfumo kristo kuwazulumu wanzanzibar
2026-10-01 10:10:57
18
fireboyronaldo :
SUBRA HUVUTA KHEIR KILA RIZQI NA WAKATI WAKE SHEIKH
TUMEUSIWA SUBRA WAISLAM
2026-10-01 10:35:05
20
user7618872753045 :
ccm oyee hizo sio shida zetu
2026-10-01 10:40:59
9
Baby2 5 :
kiongozi aliefanya mambo kwa manufaa ya wananchi, ametulia kimyaaa anajitizamia mambo. Dr Shein
2026-10-01 17:17:44
15
@Safakh__12 :
Na Maisha yatazid kuwa magumu kwa kuacha mafundisho ha Rasuullah..,
Zanzibar iliyokuwa ikisifika kimaadili na Uislamu kunyooka sio Zanzibar hii ya leo.,
zman hakukua na malalamiko ya namna hiyo. 🙌
2026-10-01 19:20:54
6
Millanzi One :
Hamjasema Bado Si Mnasema Dubai Hapa
2026-10-01 13:11:37
5
sweet_chia0 :
Daa uko sahihi kijana 💯
2026-10-01 12:11:35
22
mavimbo :
bado hatujasem na tutasem yani mpk tuseme mitan ten
2026-10-01 10:07:49
17
Khalid tafarani :
fact bro
2026-10-01 12:23:39
1
Pacha :
Uhakika kaka....
2026-10-01 13:12:48
1
Abdul alei Zanzibar :
fact 100
2026-10-01 10:40:19
1
dully :
Mungu akulinde kaka
umeongoa yaliyomo kwenye mioyo ya watu wengi
2026-10-01 11:20:45
15
siforce tufanane :
saluti sana bro nimekubali ulicho kiongea mungu akulinde
2026-10-01 12:43:57
10
Salim :
ALLAH ATAHUKUMU BAINA YETU NA HAWA WATAWALA WETU MADHALIMU
2026-10-01 17:39:17
5
Kadiru Abdalla :
mzee umeongea cha maana Allah akubariki
2026-10-01 13:31:10
6
Mrs WHY🧚♀️🦋🐦🇹🇿 :
mm mwanasheria nimetoka kidogo nipo likizo😂😂😂
2026-10-01 12:23:30
7
Aliyu23 :
kama wanataka tuwamini wanatupenda basi mtu akikamatwa hana helmenti adhabu yake anunue helmet jipya na achiwe huru.
2026-10-01 10:36:54
7
dilnasso :
viongoz wetu walafi sana
2026-10-01 11:00:11
5
To see more videos from user @islamicreligion914, please go to the Tikwm
homepage.