kwangu mimi baba ni bora kuliko mama coz yeye ndo amenichagulia uyo mama aliebora.....
baba ni best kwangu
2026-10-01 11:10:23
184
lightNuru Martine :
Mlioangalia had mwisho mnambie ilikuwaj ety😁😁😁
2026-10-01 12:04:40
92
vero@kalinga :
😂😂leo skupingi kabsa upo sahihi ila hakuna kama mama
2026-10-01 10:48:41
35
jecha🌍🇹🇿 :
daaaah asantee nimekuelewa🤣 nani kama baba
2026-10-01 10:01:59
74
bs :
😂😂😂😂 hatari Leo majibu tumekosa 😂😂
2026-10-01 11:04:32
77
user6351675181124 :
mama amepewa kibali cha muumbaji anamfinyanga mtoto tumboni na kumtunza hadi anajifungua.
Ameatarisha maisha yake hadi kujifungua huyo mtoto na ana zaliwa tu sura ya kwanza kuiona ni mama. mama ni mama na atabaki kuwa mama. Bigup mama wote Duniani
2026-10-01 14:20:15
18
Doris Tarimo :
Hakuna kama mama
2026-10-01 10:22:48
9
sumaya Amosi jw :
nimesoma comment kabla sijamaliza kuangalia video
2026-10-01 13:39:11
8
JONAS :
Je me pose souvent la même question
2026-10-01 11:53:40
6
double H :
WAISLAM TUMSWALIE MTUME ..
2026-10-16 07:19:47
5
Esther Zuhura🥰 :
Bwana Yesu asifiwe wapendwa👏
2026-10-01 18:34:12
17
Abellah :
😂😂😂😂😂 Duuuuh kwakweli Sina Ushauli juu ya hilo Ngoja me nipite tuu
2026-10-01 11:06:20
8
Martha Mayalla :
BABA ANAMFUMDISHA MTOT KUMPENDA ILA MTOT KUMPENDA MAMA NI AUTOMATIC 🤣🤣🤣🤣 nimeendaa🧑🦯🧑🦯
2026-10-02 03:32:42
9
ThebraidedFetty :
kiukweli mama angu nibora sana lakini nampenda sana baba angu
2026-10-01 10:48:49
25
Cyborg :
Mama Ndio Wanatuharibia Watoto Maana Wanawajaza sum ya Kutuchukia Sisi Wababa na Hapo Tunawahudia
2026-10-01 11:08:39
9
dimpoz_26 :
we shida ako unigombanishe na mama ngu asio bana😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-01 11:07:00
17
lucemo@45 :
Nani kama MAMA
2026-10-01 09:46:46
5
HERAJU♥️♥️ :
Asalam alaikum
2026-10-01 18:00:17
7
D-DEBLOSS ✅ :
Point sana iyo Bro upewe mauwa zako
2026-10-01 16:55:25
6
Nina❤️ :
[Tears of joy][Tears of joy][Laugh approved] Nani kama baba😍
2026-10-01 10:07:56
7
niite_japhary :
ukweli mtupu 😂
2026-10-17 13:13:28
3
Evans Sanga0741459436 :
live umetisha
2026-10-16 18:53:54
3
To see more videos from user @mkigoma_tz, please go to the Tikwm
homepage.