Akh pia huyu Kenyans tuungane tumchangia akatibiwe tukizidi kumuombea akh..utapona in jesus name
2026-10-01 12:16:16
621
Rachel Loved :
IT IS WRITTEN BY HIS TRIPES WE'RE HEALED.RECEIVE IN THE MIGHTY NAME OF CHRIST MESSIAH.AMEN.
2026-10-06 10:52:30
1
brazy@kavini :
hata pona
2026-10-01 15:12:46
5
Cathy moh :
hatapona Kwa jina la yesu
2026-10-02 09:27:51
111
Deborah Maluwa :
so sorry 🙏🙏🙏
2026-10-07 21:03:11
0
@Nancy$ :
kama unaamini wata PONA in Jesus name sema Amen 🥰🥰
2026-10-01 17:42:22
1044
milliah...ashill :
machozi yngu nayo ikona mchezo sasa inatoka ikienda wapi
2026-10-01 15:29:48
23
Tritash😍 :
hatapona kwa jina la yesu
2026-10-01 20:38:21
13
smiling gal💕 :
Mbona watu wanaandika aty hatapona instead of atapona ama n typing error
2026-10-01 17:28:39
487
Maggie❣️ Rukanga🥰 :
wakamba mnatuconfuse😂hatapona ndio nn🥲 atapona🙏
2026-10-01 16:44:58
617
Selly 254 :
atapona in Jesus name nmeona huyu mtoto nikaanza kulia ile Hali mama yangu alikuwa hivi Hadi akawa kipofu alitembea mahospital bt wapi mungu simama na wagonjwa wote 😭😭😭 uchungu mama yangu alikuwa anasikia nlilia hospital butere na kakamega Hadi madaktari walikuwa wananitoa nje siezi mlinda mamangu bt kama n mipango ya mwanadamu n sawa mama yangu sai n kipofu mungu linda familia yangu 😭😭😭
2026-10-01 16:47:11
52
liz elizah :
hatapona
2026-10-01 16:24:04
10
Dr. Nil 🇰🇪 :
My heart is always at low moment when kids are suffering...Quick recovery young soul.
2026-10-01 13:12:20
158
esimba🔥🔥🔥 :
hatapona tu
2026-10-03 16:46:11
12
Phyles Munyao001 :
hatapona
2026-10-01 15:46:22
10
To see more videos from user @its.antonie5, please go to the Tikwm
homepage.