@mazee_45: ety🤣🤣🤣🤣🤣❔️❔️❔️❔️❔️❔️

Rich mcheshi_😜
Rich mcheshi_😜
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 09:32:43 GMT
79534
2562
326
267

Music

Download

Comments

genev299
Genevivi 🌷🦋 :
Wengi wao ni wanaume wasio na pesaaa jamaniii 🥺🥺🥺
2026-10-02 22:40:38
30
user617915878
zammy😍♥️ :
mbona me mfup na siwez kumganda mtu [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-02 19:16:42
2
gresswanguba
hawa baby :
😂😂😂😂 kumbe cm ikiwa haina betri inaita na sijuwi
2026-10-07 13:47:24
2
user9384984524801
Happy234@ :
ndo ninachokiwaza hapa mwezenu yan jitu hulipend ila sasa mala umeshindaj mala mke wangu heee nachoka mim🤣🤣
2026-10-02 19:34:13
11
user8821143933022
theo🧚‍♂️🦋 :
Aloo mi ni mfup ila kungangania ndo nlishindwa kabisa😂😂
2026-10-02 08:29:58
5
user1326668427088
💕 💫 :
nilimpataga wa hivyoo anapenda mapenzi lkn hana pesa me kiukweli hapo kwenye kutonipa pesa ndio palinishinda nijihudumie mwenyew kisa kunipenda hpn
2026-10-02 08:25:04
13
user74781129059596
Faraja :
Moja kwa moja status
2026-10-02 14:49:00
1
user4638822395320
[email protected] :
ata ukimbloku anaazma simu yamtu mwingne anakupigia
2026-10-03 20:37:08
3
doriceswai607
Dorice Swai :
asante kwa kuniumiza mbavu zangu🤣🤣🤣 du aya necheka adi nimekufa
2026-10-04 13:44:05
1
tatusilim
Tee😍 :
nmecheka wallah et hat ukitoa betri sim inaita 🤣😂😂
2026-10-04 15:13:45
3
judith.mataka
Judith Mataka :
kwasababu yy anakupenda
2026-10-06 13:23:15
1
officialmaya069
officialmaya498🦋 :
current situation😆
2026-10-04 13:59:23
0
amatz770
Intropact 🤫🤔🫡 :
so kweli bhana me mgupi wangu nampenda ananipenda pia
2026-10-02 20:08:52
0
mbonye23
mbonye23 :
siku hz mambo yamebadilika ukimpenda mwanamke anakuona msumbuf na unajipendekeza ila ukimuacha yy ndo anakupenda sasa
2026-10-03 19:54:47
0
faishan.tiktok.com3
pss :
tulio ishia kusom comment tujuane
2026-10-03 14:43:20
3
dee273019
Dee♥️ :
Eti hata ukitoa betri simu bado inaita 😂😂😂😂hii nchi ngumu sana😂😂😂😂
2026-10-02 11:30:41
4
officialnancyr
BlessedNah :
🤣🤣🤣 mbona kama kweli
2026-10-02 08:05:20
0
bby.j218
Bby J :
shezi umeona unitangaze kwa tktk sio😂😂😂
2026-10-03 12:19:39
0
yuzarisifusalumu8
Yuzarisifu salumu :
hata iharibike utaikuta inaita
2026-10-01 20:29:16
3
edimethdaniel
mamy cute :
[Laugh approved][Laugh approved] hapo kwenye kutoa betrii simu inahitaje [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]hiyo ni chuki ndo inakuwa inaita sio simu[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]eh mbavu zangu jaman
2026-10-03 21:04:32
1
happy.ajabu
pretty 🌹 happier😜😜 :
kweliiiiiii[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] jamn mm ninae hapa mda wote sim mke wang jamn🙌🙌🙌
2026-10-01 19:43:25
1
crdpius
Crd Pius :
na kuhudumia hawajui ila utasikia anakuambia nikikukuta na mtu nakuuwa, ivi kwa Nini lakini
2026-10-02 12:52:45
1
user273530177169
vanessa biasha :
nina ushuhuda wala sio uongo😅
2026-10-02 11:34:22
1
jd183472
FirstBorn 💞🦋💦 :
hahaha
2026-10-01 11:49:40
1
faa.ally
mom shahazd 😍 👌 :
😂😂😂😂 jamani ninahushuhuda huyu baba ataniua walai nimemkwepa mara nyingi anakuambia mapenzi yanataka subra nachoka mimi maana hawezi kukata tamaa
2026-10-03 13:53:08
1
To see more videos from user @mazee_45, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About