@cawabemedia_: @akiki.dadi katika mahojiano yake na @brazamento ameeleza mtazamo wake juu ya wasanii wakubwa namna ambavyo wanaweza kuwasaidia wasanii wadogo. Unahisi itakua na mchango wowote katika kukuza vipaji tulivyo navyo?? Full ipo Youtube tayari kupitia @cawabemedia ✍ @brazamento_

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 10:19:22 GMT
43653
3219
118
25

Music

Download

Comments

qaaassimu
YACHOPAAA :
capitalism needs poor people for it to work, some people needs to stay as consumers
2026-10-01 16:10:35
8
gilberty18
Gabali..3.6.9 :
Fact san
2026-10-03 07:34:39
0
tasharhymes6
tasharhymes6 :
that fact
2026-10-03 08:17:03
0
ezyeguna
EZYEGUNA :
bongo ndo maana tumepitwa na nigeria kimziki no support underground
2026-10-02 18:01:12
39
buthaynah40
Buthaynah :
New mentality in town 🔥
2026-10-03 04:37:22
0
majesh268
majesh26 :
Jamaa anakitu🔥🔥🔥
2026-10-03 08:14:45
4
user5866592600555
Thabiti mbehoma :
inajua nautakuj kuw msann mkubwa mwanguu
2026-10-02 22:23:12
4
mettytilessupply
OTC_1_Metty :
pambana
2026-10-03 04:31:13
0
youngbbillionaire_
young billionaire :
je ni wakali kweli,niamin mim mtu mwenye kipaj ni rahis kubebeka na ku shine ishu sio kua na hela wala nin
2026-10-01 12:07:10
16
ernestdeuscharles
Baby boy tz🏴🏴 :
that's true👏👏👏
2026-10-01 19:51:23
0
obreychipata
Obreychipata :
kwani wao Nan aliwapost insta story?
2026-10-01 10:28:16
11
hiphoptotheworld2
Hip hop to the world 🌎 :
ni kweli unaona mboso alivopost remix ya buku jero yule dogo ameonekana sana 👑
2026-10-02 20:38:58
15
kidbwayhansboe
KID BWAY-😝HANSBOE🥳 :
Iko saw🔥
2026-10-03 11:30:27
1
amando049
a m a n d o tz :
huyu jamaa alikua wapi?? anafaaa awe waziri wa vijana
2026-10-01 12:56:36
7
ramso6848
Ramso :
uyu nan Tena
2026-10-02 11:05:32
8
diplomamiusic
Diploma Dungu 🎙️🔥 :
wasanii wachangaa wote tusiache kumsapot huyu jamaa anatupambania Sana🔥🔥🔥🔥🔥
2026-10-03 10:32:17
1
xenon19__
Xenon19 :
AKIKI HUYU JAMAA
2026-10-03 11:29:04
1
rockgsimbajike
Rock g simbajike :
wasanii ni kupambana ndugu yangu👏
2026-10-02 18:45:25
1
tiyerzfanpage
Tiyerz Tz :
fact 💯
2026-10-01 11:50:43
1
mont_ventures
mont_ventures :
Uyu mwambaaa🔥🔥
2026-10-02 18:16:02
1
massoud027
massoud :
kwa wiki story moja kwa wasanii hao tutapata story ngapi kwa mwezi then Kila mwezi watazingatiwa wangapi
2026-10-01 10:39:35
3
maida.music2
maida music :
kaka umeongea kitu kikubwa sana mungu akupe nguvu sauti ipae zaidi
2026-10-02 18:16:24
1
william_simbola
GOOD🇹🇿CHOICE :
sio kidogo ni wabinafsi sanaa
2026-10-02 18:56:22
1
fadysamwel10
fady samwel :
tatizo wasanii wa bongo wanashindanishwa wenyewe kwa eenyewe yaan msanii akishaanza kushine anaanza kushindanihswa na wasanii wakubwa
2026-10-02 17:12:22
1
morgan_mocco
Morgan mocco :
Jamaa anaweza
2026-10-03 12:21:10
0
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About