DiceDPM :
Walaghai ni Narcissit kuna roho zinawaongoza hivyo akikutana na Chosen anamjua kupitia frequency na nishati ndio maana wana akili nyingi kuhusu saikolojia ya binadamu, wanafanya mambo kwa akili kubwa kumjua ni ishu. Akikuona tu anakujua hapo hapo, ili akuteke anakupa Love Bomb (bomu la mapenzi) hapo utajiona wewe unapendwa kuliko watu wote Duniani, kisha anakufanyia mirroring yaani anakukopi unachopenda usichopenda kisha anajifanya nayeye yupo hivyo🤣, kisha anakufanyia Future faking yaani anajifanya ana mipango mingi sana ya maisha nawewe ili ujae kwenye mfumo🤣, atakukabidhi hata ATM card yake. Ukishajaa sasa anakufanya AINGIE KWENYE MFUMO WAKO WA NEVA, Yes yeye anajiingiza kwenye mfumo wako sio kichawi bali kisaikolojia mgano, Gaslight yaani anafanya kitu kisha anakataa unaanza kujiona labda wewe ndio shida, anakufanyia Guilt Trip yaani atakuambia huko nyuma watu wamemfanyia mabaya ili umuonee huruma wakati kila story anayokupa ni uongo, Projection yaani anakuambia umefanya kitu flani wakati ujafanya yeye ndio anafanya (akikuambia unachepuka jua yeye ndio anachepuka).. Sasa hizi njia za kukufanya aingie kwenye mfumo wako wa Neva ndio hatari, mtu anakuzingua asubuhi alafu jioni unataka muongee anajifanya kama vile akijatokea kitu, Hapo Ubongo wako unakuwa kwenye hali ya Tahadhali muda wote unamwaga Tindikali za kupambana na stress wakati Mungu aliziumba zizalishwe kwa dakika kadhaa tu kutatua matatizo ya kila siku ya binadamu, sasa mtu ujamfanya chochote ila ghafla anakunyamazia.. Unaanza kumkumbuka yule wa mwanzo kipindi mnaonana unavumilia labda atabadirika ila abadiriki unaanza kuhisi watu wanawaroga🤣, baadae unahisi wewe ndio una shida🤣 hizi Tindikali zinatoka kwenye ubongo muda wote na hapo ndio utapatwa shida za kiafya kama Kipanda uso, Kuumwa kwa tumbo, acidi kali, kupoteza kumbukumbu hata kiharusi. Kama uwezi kuachana nae inabidi ujifunze kuishi nae ili usipatwe matatizo huku you planning your future exit. Unawajua wachaga wa Machame?? ushasikia wale wanaua sana wanaume?? basi wale 85% ni narcissist, awaui kichawi bali manyanyaso ya kiroho na kihisia ambayo hata ukimuelezea mtu akuelewi anakuona chizi. Na ana machawa upande wako kumsaidia usieleweke
2026-10-01 18:17:43