@alfatah.tv: Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mh. Lela Mohamed Mussa, ametangaza mabadiliko ya ratiba ya upimaji na Mitihani ya Taifa 2026, kufuatia mabadiliko ya ratiba ya NECTA, pia Wizara imejipanga kukabiliana na mvua za El Niño kipindi cha mitihani. #zanzibar #wizarayaelimu_zanzibar #NECTA
AL FATAH TV ONLINE
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 11:18:56 GMT
Music
Download
Comments
iyyah :
hii ratiba mumechemka sana baada hao wadogo ndio waanze mwanzo ety awo wadogo mumeenda kuwaeka mwisho
2026-10-01 19:04:42
3
Never give up :
hakuna mvua yote mradi wa serikali
2026-10-01 15:32:25
3
yunaitham :
tunatak vyet vt
2026-10-01 16:00:40
1
no profile :
kwa nini tunaogopa mvua kiasi hiki .je mwenye kuleta mvua anaogopewa nae au ndio tunaogopa kurowa kuliko khadhab za Mola
2026-10-01 20:18:01
1
amor😍 :
form four je
2026-10-02 06:12:57
0
user3284800612668 :
kheri inshaallah
2026-10-02 05:17:03
0
fatma ali :
Allah awafanyie wepesi watoto wetu wote wanaokabiliwa na mtihani wa taarifa na awajaalie wafaulu mitihani yao Aamiin
2026-10-02 07:59:06
0
HEART OF QUR AN :
Marahii ofa kubwa sanaaa
Ahsanteni
2026-10-02 02:45:06
0
Ak :
mmmmmm mmmmm mvua ni majaaliwaaa ya Allah
2026-10-01 19:11:54
0
maytham :
Wazir waelimu wambie walimu kama watoto wanadaiwa wasiwazuie kufanya mitihani
2026-10-01 16:00:40
0
official mufasih✅ :
hili mmetukosea sana walimu wa msingi ila mungu tu atusimamie kutoka tarehe 12 mpka 26 sio padogo
2026-10-01 20:07:05
0
ukhty salafy😍❣️🤍💫 :
amali nnn
2026-10-01 13:09:12
0
Most wanted :
wanawake mbn wengi
2026-10-01 18:51:00
0
thureyanuh :
😳😳😳
2026-10-01 18:13:37
0
Nanah :
🥰🥰🥰
2026-10-01 14:49:38
0
user4629981763076 :
😳😳😳
2026-10-01 18:41:55
0
To see more videos from user @alfatah.tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.