@uhondo.tv: Kutoka Kanda ya Ziwa -Mkoani Geita, tunakusogezea hii inayotoka Mtaa wa Mkoani, Kata ya Kilangalala, Wilayani Geita, ambapo watu wawili (2) ambao ni Mwanaume na Mwanamke wamekamatwa na 'Polisi Jamii (Askari Mgambo)' wakidaiwa kukutwa kwenye maandalizi ya mwisho ya kufanya mapenzi (ngono) katika eneo la Makaburi ya Lukilini.

Uhondo TV
Uhondo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 11:23:36 GMT
116448
2676
425
846

Music

Download

Comments

bobzu23
Bob Zu23 :
Yupo kifua game[Tears of joy]
2026-10-02 10:48:40
0
supernaturalman7
Eric Mwakingili :
wananchiii, [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-02 08:37:05
0
princepantaleo
PRINCE :
elf saba yote kwani anaondoka nayo [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-02 14:47:41
0
yunus.muhenga
Yunus Fernandez :
Ivi kwanini kila kwenye matukio ya ajabu jezi ya Yanga lazima ihusike
2026-10-02 03:28:48
54
zee.la.code
zee la code :
mbon siku iz umepandisha bei 🥺🥺
2026-10-01 20:20:23
22
chrissfact
CHRISS CHRISPO :
police jamii sasa aahaa 😂😂😂
2026-10-02 04:08:11
0
abdulamani955a
abdulamani955 :
Aa wananchiii..!!
2026-10-01 19:54:19
0
user956834671705
user956834671705 :
sas apo kosa ni nin watu wapo kwenye biashara Yao
2026-10-01 19:39:39
19
king.idriss0
King Idriss :
mbona elfu 7 nyingi umezingua
2026-10-01 11:35:00
22
venocyber
venocyber :
kwahiyo watu wasifanye mapenzi au shida ni kufanya mapenzi karibu na marehemu?
2026-10-02 03:47:58
4
mnihala
Hussein 932 :
ninashindwa is [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-01 12:44:18
1
mr.asunga.billion
Mr Asunga Billionaire :
kiapo cha kulinda inchi
2026-10-01 16:17:18
7
big_wiz_202
Idrisa :
Buku ongeza ikawa buku mbili ila wanayanga 😂😂
2026-10-01 22:52:27
7
user276811077304
Chidy nails :
halaf wa yangaaa
2026-10-01 12:18:08
5
bhasingile
MR. SEBASTIAN :
Sikiliza hayo maneno kwa hisia, then tafakari ni mdogo wako wakike wenda usiumie kwamba si kakua? Ila ule moyo tu wa kuona mdogo wako anadharirishwa kwa 7000 aisee 🥲🙌🙌, Mungu endelea kunibariki niwalee wadogo zangu mpaka siku za mwisho wangu DUNIANI
2026-10-01 21:38:04
6
gootnet_tz
Goonet_tz :
hizi ndio tv uchara Sasa mnatoa taarifaa gani?
2026-10-02 05:49:35
3
emanuelkissuu
Mc kachumbar :
jez ya yanga jmn🤣🤣🤣
2026-10-01 20:14:56
0
fredy.gasian5
Fredy gasian :
Wanayanga tena kwa vya mteremko😀😀😀
2026-10-01 19:04:32
0
lilnapy6
Lil~napy :
Police jamii mnazingua aisee 😂😂😂
2026-10-01 19:27:24
6
evelinafrugence
Queen bee :
huyo aliyehapa kulinda Nchi mmemuzingatia kweli ama
2026-10-02 12:58:45
0
officialmarry01
Marry :
ndo avae jez ya yanga jmn wai
2026-10-01 14:19:18
2
festasy1
CHASAMBI✅JR🇹🇿 :
kabuli lilikua nalo na upwi....[Tears of joy]
2026-10-01 16:20:43
0
mbangazaharani
Mbanga Zaharani :
kumbe binti mwenyewe alikua amekubali wameshindwana tuu Bei Mzee mwenyewe anataka kula mzima
2026-10-02 08:17:23
2
officialelly92
Official Elly :
wanayanga bhana
2026-10-01 20:59:06
1
mh109165
mh :
kifua game ndo nn??
2026-10-02 08:03:31
1
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About