@itshusseinmkumbo2: CHIVAYO alikuwa anatoka kuangalia ujenzi wa nyumba hizi za BILIONI 2.6 kabla ya kupata AJALI #BreakingNews #Habari #Tanzania #HusseinMkumbo #bonitech_computer #Airpodspro2

Hussein Mkumbo
Hussein Mkumbo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 11:42:31 GMT
176265
5159
109
153

Music

Download

Comments

user519756340697
mafiloso😜🤪 :
kwahyo project Veep
2026-10-01 19:40:17
0
grandpacreative
Grandpa :
Village people sio watu wazuri 😅
2026-10-01 14:00:05
39
user2757622571220
Cate whites :
The best thing is that the goat wife and the 2 kids are safe..
2026-10-01 16:24:28
18
marry29035
Mary :
maombi yngu watt wasiwe wamefarki
2026-10-01 13:32:33
29
z.qute5
Z really Qute :
Usicheze na kijijini
2026-10-01 16:24:05
6
mubaa_24
Mwamposa_pablo :
kwani anaongea kiswahili ??
2026-10-01 14:08:57
10
albrightbahati
Mama Albright :
so its about the village,oh no
2026-10-01 15:41:07
0
duke_061
Fey Faith :
Rest whenever you want to rest
2026-10-01 15:17:57
0
sittakilimo50.com
Sitta Kilimo :
RIP Chivayo and your beloved Wife😢😢
2026-10-01 14:17:00
1
franciskarest
franciskarest :
Mungu awapumzishe pema peponi
2026-10-01 15:57:03
5
qeensheenda
misssophie❤️‍🔥📸 :
Yote kwa yote watoto hawakuwepo aiseeh nihuzuni kwa ajali hii[Teary eyed][Teary eyed]
2026-10-01 15:00:25
5
user7699248184848
Delbose :
Ujeenzi utaendelea tuu broo
2026-10-01 12:34:13
6
z.w.d8
z.w.d :
mungu Amuwek mahal pemaa
2026-10-01 15:20:10
4
user9159363583826
Gee :
Ati Uda Estate 😳 aai 1 + 1
2026-10-01 14:32:47
1
erodias42
Erodias :
Tunasumbuka na ya dunia ila lati tungejua yote tunayaacha hapa duniani.😭
2026-10-01 13:43:43
21
edwardthomas9878
Edward Thomas :
unaleta ubinadam Kijijini ! mmh tumewapoteza wengi
2026-10-01 17:33:09
2
god.did5434
God Did! :
daaah 😌
2026-10-01 15:35:46
3
madamboss304
Rita :
wivu na tamaa ya watu Rafiki yangu watu ni wabaya haki
2026-10-01 14:26:24
3
kenanmligo
Kenan :
Nyumba zilizozunguka hilo Kasri lilikuwa jibu tosha..kuwa ilibidi awe makini sana
2026-10-01 15:30:20
8
miliyalaizer1
Miliya Laizer :
Kwani tajri hana watoto
2026-10-01 15:47:19
0
didaxearly
Didaxearly :
Mungu alimpenda zaidi
2026-10-01 14:14:45
4
focaldivene
Focaldevine :
ujenzi umeishia.apo
2026-10-01 14:29:30
3
waryoba.kibata
Waryoba Kibata :
kwani makosa yake nini pesa zake au bona mnamuogereq vibaya
2026-10-01 13:13:17
4
arusha.255
Arusha :
brother izo ni fikra zako ila kwenye maisha yako always be humble ukiwa na hela usiwe na hela maisha yako hapa dunian yatakuwa mazuri
2026-10-01 18:20:22
1
user3611991609265
user3611991609265 :
October 29 watanzania wengi walipoteza maisha kwa kupigwa risasi ktk vurugu za uchaguzi. Kama utakumbuka huyu jamaa alikuja ikulu na kukutana na kupiga picha na bi mkubwa. Polepole kabla ya kupotea alimzungumzia pia na aliuliza uhusiano uliopo kati yake na bi mkubwa. Huenda baadhi ya watu wanadhani kwamba jamaa alifadhiri hasa ukizingatia kwamba alikua na fedha kufuru.
2026-10-01 18:29:02
0
To see more videos from user @itshusseinmkumbo2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About