@360newz7: KESI ISHAANZA KUWA NGUMU JAMANI KAFARA TENA #fyp

360Newz
360Newz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 11:36:47 GMT
217984
11681
239
294

Music

Download

Comments

leleito154
D Seur :
Uongo hio. Accident is normal
2026-10-05 08:39:38
0
harunikikoti
Haruni Betweli :
mimi siaminigi katika uchawi, harafu nimeshaona watu wanawivu na abood buses
2026-10-01 18:25:31
48
pamela7133952393323
pamela_27 :
Hakuna Mali bila damu hakuna mali bila kafara
2026-10-02 22:46:31
22
neema.tuombe
❣️❤️❣️ :
bwana yesu asifiwe Wana wa mungu
2026-10-02 11:09:54
55
hamarnaramadhani
ki babe cute 💋🤍🥰 :
Ndomaana Sipandi Bas akuuuu nikiendaga Tanga Napandaga Farasi
2026-10-02 03:49:38
24
qn27m
micharazo :
na huo ndio u kweli kabisa
2026-10-01 12:52:22
22
oktah044
Oktah :
kwan huyu jamaa anafanya kaz gani
2026-10-01 18:19:45
9
kijanawasubaru01
T 916 EUC :
Ukweli mchungu
2026-10-01 13:27:31
10
faustinemakoye940
faustine makoye :
bro kama kaongea ka kitu vile
2026-10-03 05:08:55
6
zenajela0
zenajela :
ndio maan walisema watu n mali
2026-10-04 08:33:01
2
dkitamalale6
DKITA malale :
nakukubali ila kunasehem unazingua sana ujumbe nimuzury ila umekosea kuweka picha ya Hilo basi hapo
2026-10-01 17:10:31
36
fary_verhalen
Fary_verhalen :
kwahiyo mabasi yasiwepo ili tutembee kwa miguu kutoka dar hadi mwanza. au unashauri nini?
2026-10-03 06:04:11
0
asiaabbasi35
bint abbasi🥰🥰 :
illa yote Kwa yote umaskini ni mbaya mno nimeamini Hilo Jana😭😭
2026-10-02 04:48:44
12
mosrech23
Mosrech :
ime andikwa kitabu gani
2026-10-02 04:22:32
3
inocent.kavenuke
inocent kavenuke :
UNATAKIWA KABLA HAUJAANZA SAFARI YOYOTE UANZE NA MUNGU NA UMALIZE NA MUNGU!! "Ukiwa na macho ya Rohoni Utaona Sio magari yote ni magari!!" MUNGU ATUSAIDIE SANA🙏🙏🙏
2026-10-02 06:35:13
7
maulidimpili8
BOSI WA FAMILIA :
upo sahihi kabisa ndio maana watu wanaojifanya wamesomea biashara wakifungua lazm wafilishike sabab pesa ina mamb meng
2026-10-04 13:14:32
4
qauchaboy
Quacha :
kwa nn mkaweka abood si mngeweka picha tu ya gari lisilo na logo?
2026-10-01 16:28:20
7
ibuthoby
Ibrafrica :
hiyo naamini ni kweli 100%
2026-10-02 09:27:44
2
fadhilimafungwa
FADHILI ABDALLAH :
sasa kaka ilo basi apo ni lanini na nikampuni ya mtu.
2026-10-02 12:42:35
3
queen.norah80
queen.norah80 :
Kwely kabisaa 😭😭😭
2026-10-01 20:45:40
3
ebeneza_01
@Ebby_tz🫢 :
Sio lazima kwa tunaomwamini Yesu.
2026-10-01 18:35:04
2
user9300670927660
NEEMA MMASY :
haiwezekan wewe sisi mbn hapana
2026-10-02 05:16:59
4
mawazo.mwansembo
mawazo mwansembo :
kwahiyo anaeongoza kutowa kafarani abood Nini?
2026-10-01 20:14:18
3
twentysix2030
Twenty Six :
sasa mbona mmeweka kampuni ya abood
2026-10-01 17:32:30
3
ansy.sway
Ansy Sway :
😀😀😀😀😀😀😀jamaaaa umeleweka sana
2026-10-01 18:18:37
3
To see more videos from user @360newz7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About