@aizack629:

Aizack
Aizack
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 12:04:00 GMT
22155
570
89
72

Music

Download

Comments

offical.dee2
🦋Offical @dee🦋 :
msameheni acheni sifa
2026-10-02 04:37:01
7
zawadigeorgebuyam
zawadigeorgebuyam :
hii sio kaki sipendi kuona mtu anapigwa
2026-10-02 12:14:40
2
pangbjeshisb
Pang b jeshi Sb :
msameheni bn
2026-10-02 10:16:45
1
tripleangalio
ALWAYS SMILE :
duuuh 😭😭😭
2026-10-02 17:16:20
1
emmanuelsimon371
FRANK JR 5402 :
kwani hapo ni mkoa gani wakuu?? make huyo mtu ni kama nishawahi kumuona bariad mkoan simiyu Ety
2026-10-01 17:57:32
5
real_talk1founder
💣☠️C H A M A K H💥🤴 :
sawa wizi sio mzur kabsa na mtu anapoiba haimaanishi wengne huwa wanapenda ni hali ambayo mtu huwa anapitia mpaka anajikuta Anaingia kwenye wizi,,,sitetei wizi mana wengine wanazingua sana unamuibia mtu ambaye naye ana shida kama wewe bora uombe upewe au kama njaa bora ule sehem afu umuite mtu pemben muuzaji umwambie kwa hisia ulizonazo na yanayokusibu anaweza kukuelewa kama anajua nn maana ya maisha mana wengine hata ukiwaomba hawakupi angalau wanaijua njaa,,,ishu ni kumpiga mwizi ambaye humjui na kumuuwa bora umpeleke kituon tu na akashikishwe adabu uko kituon na kujifunza mana kumuuwa unaweza ukakatili nafsi za watu weng nyuma ake,,,KITU KIDOGO TU EMU FIKIKIA MWIZI ANAYEPIGWA NA KUCHOMWA NI NDUGU YAKO NA UNASIKIA KAIBA ETI KISA NJAA AU MAISHA KUMZONGA MWENGINE ANAJARIBU BAHATI YAKE MANA HAKUNA MTU AMBAYE HAJAWAHI WENGINE WENGI HUWA WANAIBA HASA MAKAZINI ILA NDO IVYO AWAKAMATWI TU LABDA KWA SABABU WANAIBA KWA FAIDA YAO NA KUANGALIA KUTOMUANGUSHA BOSS,,,ILA DAAANH KUPIGA MWIZI JAU LABDA UMJUE NDO TABIA YAKE NA ANAIBA KWA SABABU ZISIZO NA MSINGI
2026-10-02 14:08:51
0
elizabeth.assey6
Queen lizzy :
Msameeni bana
2026-10-02 09:37:08
0
humphreykimbisaki
2pac :
mtu mpaka katoa damu bdo mnapiga jamani 😭😭
2026-10-02 12:07:23
1
latifaomary75
kindsoullaty💋😻🤎 :
kwani mtu si amesha omba msamah jmn kwan ninani apo hajawah iba ama kukosea achani hizo nyie
2026-10-02 12:39:26
0
rehema.edward112
REHEMA EDWARD11 :
musipende sifa jaman
2026-10-02 05:38:49
1
flynndiva
Yvonne :
Kwan nyinyi hamuba huruma aki😭😭😭
2026-10-02 16:54:21
0
user7298872106369
SERIOUS JB :
jamani nyinyi msameheni jamani
2026-10-02 16:06:22
0
mamanabdillah7
🌸Eva🌸 :
mmsammh
2026-10-02 15:38:39
0
user27301335467961
Eunice buta :
kweli ameiba au mnaigiza to sjaelewa
2026-10-02 13:58:34
0
extnnn0
. :
Mbona wanampapasa sasa
2026-10-02 16:48:49
0
user210374870305
Glorytesha :
msameheni jamani 😭
2026-10-02 16:24:15
0
itfact47
SCOBY :
jmn
2026-10-02 15:53:21
0
fale.lutaja
Fale Lutaja :
musamehe
2026-10-01 19:25:55
0
olax.laizer
olax laizer :
msameheni bhna
2026-10-02 12:24:24
0
as164455516
Mom Aisha 🥰 :
Nibasi amesikia hatorudia jamani anaomba msamah msimuuwe😭😭😭
2026-10-02 12:30:40
0
lisakimaro2
Lisa_ :
Jaman wamsameh tu uwii mungu wangu
2026-10-02 16:59:44
0
mo_.mohd
mo_.mohd🐾🕊 :
😂😂😂
2026-10-02 14:22:35
0
xalmahxalmah591
CHIMA❤️💙💜 :
jamn msameheni😭😭😭😭🙏
2026-10-02 13:43:50
0
latifasaleh780
tifah :
duh 😭😭
2026-10-02 17:10:08
0
nasra.ally86
Nasra Ally :
musaeme janani
2026-10-01 21:15:33
0
To see more videos from user @aizack629, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About