kaiba limao ndo mnampiga ivo kweli binadam hana huruma wallah tena
2026-10-02 16:16:52
0
Makala@tz :
kaiba limao ndo mnampiga ivyo , swali je kuna mtu ana haki ya kumpiga mtu mwenzie, imagine angekuwa police kampiga Ivyo uyo raia du izo comment sasa
2026-10-02 15:41:40
0
Victor Andrea :
msamehen bahn
2026-10-01 17:43:11
0
Pascal Mwingira :
msamehen
2026-10-01 18:27:45
0
Gladness Urio :
Mimi nikikut mwizi kwasasa sionei huruma tena kwa walichomfanya mama yangu sina huruma tena ningekuwa sina mama japo wamempa ulemavu sioni huruma tena kwa mimi Mungu ananiona
2026-10-02 16:31:36
0
Ester_Deus@09 :
kumbe malimao daaa
2026-10-02 12:21:03
0
bellitha john :
kumbe malimao tu jamani lakini alitakiwa aombe sio aibe[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-02 11:45:03
0
it's.Katelyn 💦🧚♂️ :
ko limao ndio mnatak kuuwa mtu😏
2026-10-02 11:41:00
0
missboss🌹 :
ni mwizi wa malimao[Innocent][Innocent][Innocent][Innocent] jaman yan limao tu au kuna mengin?
2026-10-02 10:27:59
0
BRAYSON Focus :
lemao lakuuzwa 100 au 50 au kunakingine
2026-10-02 06:10:35
0
shama.jail :
malimao tuu
2026-10-01 20:26:55
0
🥀🌹🫶chi beby me🥀🌹🫶 :
yaani wewe uliyempig huyo kaka wallah omba na wewe yasije yakakufika wallah yan kisa limao duuuuhh huna utu wewe wallah muombe san Allah yaan anaomba msamaha pia yan ama kweli binadamu tunatifautian roho duuuuhh hapan
2026-10-02 17:03:37
0
To see more videos from user @aizack629, please go to the Tikwm
homepage.