@kawanga18m: MTWARA📍Sold out ya kwanza kwa mama wa mtwara tumemrudisha nyumbani mapema leo-Oya ntwara nilikua kama staaa flan ivi😆🙌 Watu wa kusini wananipenda jaman dah😂❤️🙌 Tulike chap tupost zingine❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ KAMA UNAMZIGO WOWOTE UNATAKA KUUSAFIRISHA NA UPO DAR KWENDA MKOA WOWOTE AU DODOMA KWENDA MKOA WOWOTE WAONE HAWA @mr_wakala.transportation 0725200812

Kawanga18M
Kawanga18M
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 12:04:21 GMT
99405
7341
330
108

Music

Download

Comments

mtwara_leo
MTWARA LEO :
we umeingilia mtwara sehem gani😂😂
2026-10-01 12:46:38
42
ashifatlinyunguny
KIBWANA :
kalibu san nimefulahi kufika kwetu mtwala
2026-10-01 12:39:57
26
rashh256
Rashh :
wale wa mtwara like hapa
2026-10-01 12:15:27
61
maimoonahmbelenje
maimoonah mbelenje :
kuhusu roho yakusaidia mtwara inaeza kuongoza unaeza ukaenda huna mwenyeji na ukaomba hifadhi ukapokelewa na ukalala vizur,picha linaaza wakijua nyumba ina mgeni asubui utaletewa mahindi na mipunga km yote yaan wanakijiji watahakikisha mgeni akai njaa mpaka anaondoka upendo ndio nyumbani kwao,ila ukijichanganya zarau zake utajuta 😂
2026-10-02 09:53:16
12
user57341512421536
zanabia mohamed :
tujuane watu wamtwara🥰🥰
2026-10-01 12:12:04
23
dully5148
mtawa :
ila watu wa mtwara warohoo
2026-10-01 13:12:08
5
allymohamedisadik
ally ally :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Oooooohhhhhh kumbe huko ndo home sifa kubwa ni upendo
2026-10-01 12:11:01
6
butilazungu
buti la zungu express :
mtwara tumeagizwa upendo
2026-10-03 13:40:21
6
mani.manito31
mani manito :
mtwara ni nyumban kusin
2026-10-01 13:53:12
4
victoria.mnyachi
💫husn💫nasr :
njooo kesho tena
2026-10-01 17:59:05
2
moshi.sanga3
Moshi Sanga :
kkoo mtaa gani bro
2026-10-02 07:18:26
1
user6574117853821
𝙱𝚊𝚜𝚊𝚐𝚠𝚊𝚗𝚗𝚢 :
tunafujooooooh
2026-10-01 13:12:30
2
salama_02509754
salama6 :
maeneo yangu ayo mkanaled
2026-10-02 00:24:56
1
user6745258193613
Wa. mtwara 🇹🇿🇹🇿 :
like hap kama kweli ni wamtwara
2026-10-01 18:01:44
1
ashrafnangumbi
Ashraf Nangumbi :
kk mtwara akuna bayaaa
2026-10-02 07:13:03
3
amina.yusuph66
Amina Yusuph :
kaka yangu nakupenda sana kwa moyo wako waupendo kk mwenye zimungu akutunze inshallah
2026-10-02 11:20:51
1
neemajulius2212
am the queen♥️♥️ :
jamn uje ata tunduru nkuone tu mi uwa nakukubali sanaa
2026-10-02 06:05:02
1
mtwara_leo
MTWARA LEO :
We una huakika upo mtwara
2026-10-01 12:46:55
5
we_cheka_bana
AGWIRAE KAGWIRA :
duh mwamba kaingia mkanaredi 😂
2026-10-01 17:33:23
1
mussah.mohammed3
MUSSAH CHAMBOUH.✌️ :
huko ndio nyumbn
2026-10-01 16:03:46
1
user13625925490944
mwanahamisi :
ndo asilitetu mtwala atuna roho mbaya wanahesabika sana
2026-10-02 09:18:44
2
azizimngochi
janeth :
waooooh mkanaled mwaaaaah brooo
2026-10-01 21:34:57
2
shemsar7
asra :
karibu home
2026-10-01 13:58:12
2
pienepple1
pie nepple_🍍🌼 :
Mkanaredi🥰❤️
2026-10-01 14:17:34
3
faudhia.official
Faudhia Official :
wamakonde oy
2026-10-01 12:42:21
1
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About