@bhuju43:

MAID❤️
MAID❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 12:21:37 GMT
64664
3562
206
562

Music

Download

Comments

princess.pendo03
Princess Pendo :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]Mkuu wa majeshi upewe heshima yako
2026-10-02 18:59:28
0
j.l.j74
🪷 JYíska 🪷 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] mjeshi
2026-10-02 11:13:53
0
gaudesia.nicholau
G. Nick :
niliwah kumchapa mwalim mmoja wakike kisa ilikuwa hivi. yeye alichagua watu 3 wakachote maji kwake kulingana na milima ndoo moja mnapokezana watu 3 sasa kwenye wale watatu mmoja wapo alikuwa mdogo wangu mida ya saa 12 jion na ndio ilikuwa mida yakutawanyika sasa wale wawili walipo sikia kelele za wanafunzi wakajua hapa tayari wametawanyika mda huo wapo kisiman nzuri zaidi wao wapo jiran na kisiman wakamsusia mdogo wangu Ile ndoo ilibidi mdogo wangu abebe maji nusu maana kubeba ndoo kubwa alikuwa hawezi Ile amefikisha yale maji kwa mwalimu ikabidi mwalim aulize kwa nn umeleta maji nusu ? mdogo wangu akamwambia wale 2 wamekataa kubeba maji mwalim akasema huondoki nyumban hadi urudi tena kisiman ujaze ndoo ukiangalia ni mbali nikamtetea pacha wangu nikasema mwalim apana cha kufanya subiria Hao walio msusia ndoo kesho wakija wape ndoo wakachote akanifokea mda huo kamshikiria pacha wangu mda huo inakimbilia saa moja nikasema huyu siyo wakucheka nikamshika mkono nikamwambia mwachie mdogo wangu akagoma Nika mwambia ss tunakaa mbali pia tunapita maporin mwachie pacha wangu kesho nitakuchotea hayo maji aligoma kumwachia mda unazidi kwenda wanafunzi wenzetu wamesha ondoka aisee sijui hasira ilikotokea nilimzibua kofi moja akamwachia nikamwambia pacha kimbia mm nikabakia nazichapa mwalim akaomba msaada nikamwacha chini mm huyooooo kijiji kizima kikasimama. kesho yake nikaenda shule nyie nilichapwa ng'ombe akasome walim walijua kunichapa baba akaja shulen kujua chanzo aweee mzee akasema msinitanie nitaipeleka mbele hii kesi walimu wakaomba msamaha yakaisha kuanzia pale yule Dada hadi anahama tumesha kuwa marafiki😂 🙌
2026-10-02 07:08:11
66
gl3dsinfluence
G*L3D!🌺 :
Tulio kua tuna ogopwa tujuane 😂
2026-10-02 05:49:59
54
jyackie19
JyackieCSE :
🤣🤣🤣🤣 That's me
2026-10-02 09:23:39
1
lilimosse.001
Lilianne🙈 :
😂😂😂 legend
2026-10-02 15:42:03
0
felista.jonathan
Sannysmile @tz :
mkuu wa majeshi 😂😂😂
2026-10-01 20:58:04
30
bomanisaada
saada bomani :
Huyu ni mimi kabisa😂😂
2026-10-02 12:16:16
12
officialnancyr
BlessedNah :
🤣🤣🤣 sawa mjeshi
2026-10-02 07:15:52
7
babylee2517
babylee💞💞 :
Me mbn siwezi kufanyahivo jamani😂😂😂
2026-10-02 09:28:29
5
nexie..033
🤪anelvirah.. :
😂ila glad
2026-10-02 07:11:44
1
priscaomary17
Barbie💖🌺 :
niuwe😂😂😂😂😂
2026-10-02 09:37:21
1
gracious.mfinanga4
Gracious mfinanga :
yoooh ila mkuu wa majeshi anajiamulia sana hakiii[Tears of joy]
2026-10-02 09:56:02
2
ellybabe08
ellybabe :
uyo ndo brandina
2026-10-02 09:05:55
0
thakili7
Thakili :
Ilaaa Hahaha 🤣🤣
2026-10-01 17:13:43
5
user3774818661269
wns :
🤣🤣🤣jamn
2026-10-02 06:44:31
1
iampromise_06
iampromise_06 :
kumbe na wanawake tuna milegezo😂
2026-10-02 19:21:36
3
angeley2
Angel eyes🌹❤️ :
Hahahah hahaha😂
2026-10-01 21:50:15
2
lash_by_lilie
lash_by_lilie :
2026-10-02 11:08:12
1
_hadeet
__Hadeet. :
hhhhhhhhhhhhhhh😹
2026-10-01 23:58:28
1
dativa.yustace
De 🌺vet🌼🐶 :
mm kabisa 2008, 😂😂😂😂
2026-10-01 19:03:35
1
oddoo59
🦋oddooo😘 :
huwezi kunifany nicheke mpk wagonjwa wanataka kukimbia😂😂😂 ukose like
2026-10-02 07:45:05
3
user1818071961952
vaileth Melikiol :
wananiita mkuu wa majeshi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-02 09:27:35
2
assu6110
assu :
2026-10-02 20:13:05
0
melisa.elkana
🏝️it’s Lissa💔 :
Sawa kamanda 😂
2026-10-02 20:12:50
0
To see more videos from user @bhuju43, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About