Yani siku nasikia abali ya kwamba umekufa sikuamini Yana kama vile Bado upo duniani nilichukua sim yangu nikakupigia lakini aukushika sim wala sim aikupokerewa kifo chako kinaniumiza mpaka Leo yesu tutie nguvu
2026-10-01 20:25:38
4
Kadala :
Yemweeee ree Huyu Mama ameshapumzika?😥😥😥 nlikua namkumbuka juzi TU hp jmn kumbe hata hayupo dunian? yoooo Bwana amejitwalia mtakatifu wake😥😥😥
2026-10-01 16:01:19
3
NENO LA MUNGU NDIO UZIMA WETU :
Mbona kaka sio kweli huyu Mtumishi jamani,😭😭
2026-10-01 19:25:17
1
lilian :
jaman alifariki uyu
2026-10-02 04:28:36
1
Mamyfaith :
Leo ndo najua huyu mama alifariki,,nilimpenda sana,,nilimfuatilia sana,,Sina la kusema,,MUNGU we unajua sababu ya hili.
2026-10-02 11:39:49
1
Joyce Meyer :
YESU akupe pumziko la milele dada angu ulale kwa Amani mpaka parapanda itakapolia 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭