@ramxaty23: Kirangi cha kizungu ✅ Zipo rangi zote ✅ Karibuni 😘 Tunapatikana Tandika karibia na bank ya NBC( Jengo Guangzhou center) Tunafanya delivery ndani na njee ya Tanzania 🙌 ☎️ 0682854496 #ramxatystyles @zaymarley

Ramxatystyles
Ramxatystyles
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 12:34:21 GMT
59968
3408
83
203

Music

Download

Comments

user12740350321056
it's mamu🦋 :
Nip zanzbar kpnz naitaji
2026-10-07 17:55:45
2
zainab.rajab25
Zainab Rajab :
vitu vyangu kabisa
2026-10-01 17:25:02
4
cutekinah4
Cute kin@h🔐❤️‍🔥 :
Dada ramsaty napatje iyo nguo
2026-10-07 11:34:38
0
princesazula
Princes Azula :
rangi zipo ngp
2026-10-01 16:31:34
2
said.abdallah170
Said Abdallah :
bei gan beast
2026-10-01 13:17:15
1
tislam.singano
Tislam Singano :
Mashallah Mpo wapi
2026-10-01 19:02:14
0
user70526173073672
fatma saedy :
je zote zina kiua
2026-10-05 16:54:39
0
shania.twalibu
Shania Twalibu :
nahitaji unapatikana wapi
2026-10-05 18:13:27
0
cute.g823
Grace💫 :
daaah nzur mnoo mpk nimesisimkaaaa
2026-10-02 13:32:39
0
rajsham00
. :
za watoto wa umri wa miaka 14 hmn
2026-10-01 21:28:38
0
behappyman44
BE HAPPY :
10/10🙌🙌🙌
2026-10-01 20:24:56
1
user4633822518210
Da who?💞 :
khimary tup
2026-10-01 18:05:09
0
nasra.idd3
Nasra Idd :
me nataka ila niko mbezi
2026-10-02 12:00:28
0
chamah037
CHAMAH 🩷 :
dada material ya hijabu ni shifoni au English plain
2026-10-02 15:47:45
0
zarina.yusuph
Zarina Yusuph :
unapata na gauni yake au juba peke yako kwa 45000?
2026-10-02 06:41:06
0
mamaabdulvitambaa
MAMA ABDUL VITAMBAAA❤️ :
bei gani boss.
2026-10-01 13:18:27
0
queenkhadhifa
Queen 👑 khumayra khadhifa :
mm niuzie TU kwaajili ya bint angu kushona km hivyo mafundi wataniharibia
2026-10-02 20:28:42
0
mwanaa253
mwanaa :
shingapi iyo
2026-10-02 07:40:41
1
faymachintuu5
faymachintuu :
mupo mkoa gan may
2026-10-08 13:50:02
0
shakiraabdul728
💚💚 huru ain🪴 :
jamani mwaptkan wap
2026-10-06 06:56:39
0
user2291550375901
ukthy didah 😘😻💦🫶 :
ijab pekee yak bei gn
2026-10-07 17:34:16
0
ramsoni.mussa
Ramsoni Mussa :
arahu akibaru
2026-10-07 14:30:35
0
ashura.ashura93
Ashura Ashura :
nahitaji jmn naomba no ya whatsap
2026-10-08 19:12:11
0
shishysuley
shishy suley45 :
bei
2026-10-06 16:03:05
0
chimami.d
diyya💕 :
Bei gn
2026-10-01 15:20:27
0
To see more videos from user @ramxaty23, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About