sijui hao polis huwa wanajiskiaje wanavyoambiwa vile
2026-10-02 01:26:00
0
Hussein wameli :
wakati ulip0 kuwa mbunge mbona hukusema
2026-10-01 18:24:16
0
ARCHTECT MWAMANDA :
huyu jamaa nimemfatilia saana kuna mambo mengi saana huwa anaongea uongo ili kutengeneza chuki zaidi kwa wananchi
2026-10-01 22:02:58
0
AMANi :
ndomana mikopo imezid ichiii tunataka katiba jamani hayo hatufai
2026-10-01 19:00:57
2
pr :
mpaka nimemuurumia huyo afande
2026-10-01 18:55:36
1
user1140526193750 :
aiseeeee
2026-10-02 13:28:55
0
Lindamgongo :
😁machemri bana
2026-10-01 23:33:40
0
Edward Assenga :
kabisa na sasahiv nawakubali sana tanzania kulikua hakuna chama cha kweli cha upinzani
2026-10-01 16:04:02
2
lemamolelilemamoln :
mwambaheche asee uyumwamba mm namkubali sana anamaono sanaase bc2 viongozi kamaawa ccm awataki ilanwamba sana
2026-10-01 17:42:25
1
merry :
thankfully Mr Heche
2026-10-02 17:30:22
0
Adeltus Ernesty :
Kwakweli🤔😏
2026-10-01 16:00:43
0
noble voice :
wambie ukweli hao
2026-10-02 11:18:51
0
JR :
mbona hukuikataa hiyo mishahara na na hizo posho!!!?
2026-10-01 16:31:40
1
Hussein Said :
wapasue.pasu
2026-10-01 20:45:34
0
My Life Still My Life :
Huu ujinga ulichangia kuufanya na pesa ulichukua na sasa unapiga debe urudi uchume zaidi ila huna dira ya chama au siasa kwa maendeleo ya jamii au mtanzania kitu ambacho vijana wengi kutumia muda wao mwingi kwenye siasa za hovyo ifikapo 2035 ombaomba na wetegemizi wengi watakuwa ni vijana wa sasa ila hawaelewi ujinga huo ila wapo kimihemko sasa hapo Kuna sera gani au dira ipi ya maendeleo kwa vijana.
2026-10-02 14:13:36
0
Bioscience :
wakati yupo bungeni alizipokea na kuzitumbua leo hii anaonea wivu wenzake
2026-10-02 05:08:19
0
Isco mtu m'badi :
sas si sheria wanajipangia wenyewe ivi unazani watakoza kujipangia mihela iyo ndio kazi yake kwenda kutetea masilai yao tu
2026-10-02 16:50:28
0
KATOTO :
Heche mm unaniliwaza sana Mungu akuzdishie ulinzi
2026-10-02 07:57:02
0
Dvj Dizzo :
😁😁😁ila heche anakela sana ndio mana police awampendi ila uyo ndio new president
2026-10-02 09:50:27
0
MUFĄṢ̌3Ř :
Sasa askari sjui wanajiskiaje [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-02 08:51:48
0
Crown73 :
Dah! Naomba niwe mbunge wa kuteuliwa walau kwa mwaka mmoja tu.
2026-10-02 06:47:18
0
To see more videos from user @mkacharaster, please go to the Tikwm
homepage.