Huyoo badooo sanaaaaa mbona na Nguvu ya Kuamka usiku saa tisa atapata bila kuweka alarm
2026-10-01 12:55:36
23
Ns_styled :
yesterday nimetimiza ndoto yangu ya kununua kitabu cha MIMI NI NANI by Fiona nkya🥰
2026-10-02 07:51:12
7
lollydimpoz🥰❤1 :
nkupenda kwel
2026-10-01 12:55:46
7
Dinnie savage :
😂😂😂 Hana shida dada
2026-10-01 12:56:29
5
𝐵𝓁𝒶𝒸𝓀𝒷𝑒𝓇𝓇𝓎❤️♎️ :
❤️Nyiee nahushuhuda Nakuandikaa Mungu anasoma jmn
2026-10-20 12:03:33
1
miss_NKL🦋🧘♀️ :
huyo Hana shidaa😅😅😅muacheee bado hajapata shidaaaaa
2026-10-01 13:29:36
1
Zawadi123 :
Naomba u ifundishe namna ya kuandika journals
2026-10-02 08:15:07
1
nasma moshi :
bado hana shida huyo
2026-10-03 09:33:43
0
jebelizohomedecor1 :
Ngoja naamke nikague notebook yngu🥺
2026-10-01 14:35:12
0
Jaqeen😊 :
walh kuandika hii ni nzuri sanaaa yaaan
2026-10-01 20:17:21
0
Annieh😍 :
Nilkua mvivu wa kuamka kusali lakini weehe. Nimekua mwalimu bila kukumbushwa na mtu yoyote
2026-10-01 13:37:39
6
Evelyn Patricia :
kwahy kuna mda unawez andik maomb na ukawa unayasoma si ndio
2026-10-01 13:51:44
1
Chizoba :
Dada angu Unaona Watu wamekalia Misumali halafu wanataka Uwaambie Umekalia Sofa
2026-10-01 13:00:19
3
9090gz :
Dada vitabuvyako unasafilisha mikoani
2026-10-01 13:31:19
1
Suleha_Seng'enge ♾️ :
WATU WANAPENDAA KUJIENDEKEZAA NA KUJIDEKEZAA SANA
2026-10-01 14:49:57
0
Shammy Store :
Hajaumizwa bado 😂
2026-10-01 14:02:39
0
Kyekue🌸 :
mpe mda huyo maji hayafika shingon bado😂
2026-10-02 08:34:44
0
Catwib Mgonja :
Ehhhh tumchapeeee uyooooo
2026-10-01 17:32:00
0
Aunty maggie :
wanatakaga uongeagee uonekanage una vimaneno😅😅🙌
2026-10-02 08:10:31
0
Africanwomann23@👩🍳🇹🇿 🇳🇱 :
uyoo hajui anachotaka aisee😂😂😂
2026-10-01 16:50:26
0
loved😍😍 :
nataka nikuletee wifi angu, ukimpa za usoo ataelewa
2026-10-02 17:24:54
0
rubbieallnaturaltz :
Yaani bora umeongea wewe😂 Mimi leo mteja ananiambia mimi sina muda wa kufanya scalp scrub na ninataka mba waishe sasa sijui utanisaidiaje. Sasa mi nikusaidiaje tena jamani au nije kwako nikusugue hiko kichwa? Daaahhh ila watu hawapendagi kutafuta muda wa kufanya vitu vya msingi ila kutwa yupo online anafuatilia umbea.
2026-10-01 14:09:07
0
Maria Kanjanja :
👏👏👏
2026-10-01 12:55:34
2
cool@smile :
🙌
2026-10-01 13:58:04
0
Megahearty@98 :
😂😂😂
2026-10-01 13:08:58
0
To see more videos from user @fifisugar, please go to the Tikwm
homepage.