kwasasa Ronald Hana mchago wowote KWENYE timu ya taifa mkatae mkubali
2026-10-02 05:38:25
10
Dad's Travis :
kwahiyo world cup 2006 ureno ilikua inantegemea Ronaldo
2026-10-01 14:45:04
3
JINNI,963 :
NI MMOJA TU DUNIA NZIMA
2026-10-01 14:01:15
67
mider jrs :
mess ankar mess mess
2026-10-01 13:52:53
7
underground :
ureno ni TAIFA la kawaida ila Ronaldo kafanya nchii ijulikate kupitia yy mwanzo ureno ilikuwa kama kina Rwanda n burundii kaitoa kuitwa Rwanda hadii ureno Leo wanamletea dharau
2026-10-01 19:02:01
10
samhhb2006 :
Issue ni kwamba mashabiki wa CR7 wanashindwa kuona uhalisia wa mambo. Sifa zake zinamuondolea Legacy kumbuka Ronaldo kaondoka Madrid with bad exit the same is now with Portugal. Ok unajuaje waliongea vizuri na kwamba CR7 alielewa? Na kwa haiba ya Ronaldo unaona angeelewa?
2026-10-01 14:11:22
5
Japhari :
Ronaldo ilikua zaman cyo leo
2026-10-01 20:06:33
5
The Son of Royalty 🧐 :
we endelea tu kuchambua mzik mpira acha nao, football always is football, from the past, even now and in future football will remain to be football🙏
2026-10-04 22:14:17
0
omy chillo :
Ronaldo kafanya makubwa ila kwa sasa Hana mchango kwenye timu anatakiwa astaaf tu mn inako endea atazalilika tu kila siku mn ukweli kashaisha
2026-10-02 12:17:41
3
Alifa sadick :
mm mwenyewe real Madrid/ man united/ Juventus/ saud pro league kwa ujumla together and mpira wa ulaya kwasababu ya Cr7
2026-10-01 14:12:53
9
R-KING 👑 STAR ⭐✨ :
atakama hasaidii kitu ndo mchezaji pekee dunian baada ya uwepo wake nchi ikaanza kupata makombe na ndo mchezaj pekeee aliyewahi kuifungia nchi yake magoli mengi zaid dunian wanabidi wamuheshimu kidogo
2026-10-01 14:37:44
6
CHIEF STORE OF QUALITY :
hatimae tumepata mchambuzi ambae ni team Ronaldo 🔥🔥🔥🔥🔥 tutetee aisee
2026-10-01 19:55:44
0
🅰️WONGO TOLE✅️ :
kama hamjui mpira mtulie, wakati wake ushapita
2026-10-01 18:17:49
2
Playboypeezy707 :
2026-10-01 17:24:26
1
DAD IS BACK. :
au bas
2026-10-01 13:15:22
4
God Is Gracious :
Hakuna haja huo ndo ukweli watu lazima wasteful iwe kwa ubaya au uzuri😂
2026-10-01 14:21:10
4
OP 🚂 SHAFII 👑 :
wameshinda 4-2
2026-10-01 22:08:59
1
manirio djimi :
kwa leo umehamiya kwa mpira!
2026-10-01 14:18:37
3
Reylan Dingi :
broo mchezaji kazeeka....Enough..% ronaldo ana Coast team kwa sai
2026-10-01 16:43:43
2
djsnipertz :
mpila sio mziki kaka
2026-10-01 13:43:44
2
WORLD🌍PREMIEREPRO😎🇿🇦🏀🇹🇿 :
CR7 waulize coka cola wanamjua CR7 nani😂
2026-10-01 14:51:28
1
To see more videos from user @el_mandotz, please go to the Tikwm
homepage.