@mikedastan: Vijana wengi hufikiria kuanzisha ‘soft bussiness’ (biashara laini) huku wakiwa na matarajio makubwa Wengi hawapendi kufikiria nje ya box au kuwaza biashara ambazo zinaonekana kama zinaboa lakini zina mafanikio makubwa Je ni nini kinapelekea mtizamo huu? Bilafilta episode ya 3 finally imetoka 🔥 Episode hii imejaa topics za real-life experiences, mahusiano na ndoa, vijana kujiajiri na kuajiriwa, imani na dini, wasanii na muziki na mada zingine nyingi 🎙️ @amrisaly @mikedastan @mwigwano @dr_ibrachenza ▶️ Tazama sasa kupitia link iliyopo kwenye bio ya @bilafilta au search “bilafilta” YouTube.

mikedastan
mikedastan
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 13:24:33 GMT
22178
943
37
27

Music

Download

Comments

janja_outfitstore
JANJA_ABAYASTORE ✅ :
sidhani kam iyo ndo sabb ya vijana weng kufeli ety soft business ,not true bro , ongelea kuhus mifumo ots fact na sio about product...!!!
2026-10-03 06:28:24
1
alexdavi202
Alexander :
Amna soft business.
2026-10-02 10:45:56
1
sadamjummah1
Sadam Jummah :
Leo nmesahau kupost we are open 😁
2026-10-02 12:40:12
0
iam...angie
Angie :
hard business ndo zipi hizo??
2026-10-02 12:57:20
2
dee_vee_salv
dee_vee_salv :
hapa wote wamekutana wanauwezo mdgo wa kufkiria
2026-10-02 07:49:07
11
lee.istore
Lee Istre :
Mmekutana wakshua wote ni from rich families kuna sisi from poor families tunaanza from the scratch hakuna baba au mama naomba mtaji 😂kuna muda tukiwafatilia kila social media au kila podcast tunachanganyana tu better kila mtu a focus na goals zake coz problems ain’t same aisee na struggle are quite differ wote wageni hapa duniani sema tu elimu ,connection na social life zinafanya tunapata grades mbali mbali na walimu wanaibuka from nowhere 😂Anway nice video 😁
2026-10-02 13:23:17
5
dadix._
Dadix._ :
Izo biashara ambazo sio soft ni zipi?
2026-10-02 07:22:16
2
nungutz
Porcupine junior :
hard business, low capital high profits ,hizo ndo biashara zangu ninazofikilia
2026-10-01 23:58:35
3
kisher526
Ainekisher :
sasa iv Tanzania kila mtu ni millionaire
2026-10-02 17:25:12
2
eliaemanuel577
Brandfamily2025🇹🇿 :
@Brandfamily2025🇹🇿:uyu bro ameongea kitu San sisi vijana tunaanguka sana kweny biashara kwasababu tunataka kufanya biashara smart San Yan kama hivy ni nguo,simu viatu vipodozi na pia unakuta mtaji ni milioni mbili lkn hiyo frem ilivy ndani ni zaidi ya mtaji hii utufanya tunaanguka San katk biashara mahn ukiangalia ni biashara ambazo sio muhimu sana Kwa maisha ya mtu kiukwel kama kijana mwenye ndoto ya mafanikio na umetoka katka famly zet za hali ya chini bc ukipata mtaji jitaidi ufanye utaft wako ujue nn muhimu sana katk jamii na sio tu kwakuwa fran kafanya na kafanikiwa ivy tu
2026-10-02 10:57:34
1
priscadeus02
Livingwithprissy :
Kupika sio soft business lkn 😂
2026-10-02 08:16:50
1
plentytote8
Plenty Tote 👜 :
Niulize mm uone
2026-10-02 07:48:34
0
00000078rt
nixonjr :
njoo nikupe tecno spark7 uniuzie kama n biashara rahc
2026-10-03 12:40:53
0
jefclo
Jef_Clo. :
Sense
2026-10-02 16:02:00
0
dukajipya_
DUKAJIPYA :
kweli watu wanapenda BIASHRA za kuonekana
2026-10-02 12:54:27
2
samwelsamgo6
SamGO :
Sahihi
2026-10-01 17:09:03
1
ambaswile.frank
Ambaswile Fx :
kaka nakukubali
2026-10-01 18:23:33
0
evanna215
Vanna :
Mnachukua watu ambao Mna uhakika Ndo wana jua kuliko wengine Au Ndo hao ambao mliwapata wapo available
2026-10-02 08:18:01
3
alfaan11
Alfaan11 :
mkuje kama rahisi
2026-10-02 06:34:04
2
gshots78
$$8 :
Kwanza kwn ufikirie boring businesz, tatizo la watu walio inuka na akili fupi wanaona wasio na kazi au biashara ni wajinga
2026-10-02 09:08:09
0
gigomarshmello0108
gigo marshmello 🦅🦇🦉 :
😊😊😊 akili mgando zimekutana
2026-10-02 08:15:46
1
majorkingcc
Major king cc :
koo simu ni soft🤣
2026-10-02 11:55:36
0
jacqilyn_
fairyjacky :
Tuponde kokoto 😂😂😂
2026-10-02 15:55:37
0
mziwander_store
mziwander_store🛍️ :
T_shirt tuna uza na michongo mingine tuna pigaa. Siyo kila mtu yupo hivooooo. Njooni niwauzie mcheleeee😂😂😂😂
2026-10-02 10:33:34
0
akiii147
AK_SCHOLAR :
why people inspired? who needs that? there any reason? brothers be really!!!!
2026-10-02 16:45:01
0
To see more videos from user @mikedastan, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About