@chadematz: Leo Jijini Brussels, jina la Mh Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi feki ya uhani Tanzania limewasilishwa rasmi kwa Bunge la Ulaya kwa ajili ya Tuzo ya Uhuru wa Mawazo ya Sakharov 2026. Mh Lissu amependekezwa na wabunge wa @EPPGroup na wale wa @ecrgroup ikiwa ni ishara ya kutambua na kuthamini ujasiri wake na wa Watanzania wote wanaopigania uhuru na misingi ya demokrasia Tanzania katika mazingira magumu na hatari
The gavo and the court on one awkward corner against Lissu the champion
2026-10-01 20:42:00
1
user7284177440742 :
But i blv God is great than those who want to kill him
2026-10-01 15:49:31
2
BEA SIMBA :
in god we trust 💯🙏
2026-10-01 16:03:51
3
Ally Mtaita :
waache kusema ya Palestine na gaza wamjadili tundu lisu kama kwa watu bilioni Palestine na gaza wameshindwa kuwatetea je lisu wata wezea wapi kumtetea
2026-10-01 18:35:04
1
florianshenda0 :
mazingira magumu na ya hataree
2026-10-01 15:16:50
5
Richard Rusanika :
bola
2026-10-01 13:54:50
2
Tayson :
good 👍👍👍👍
2026-10-01 16:02:54
1
Nassor cholo :
mnachekesha sana yaani chadema
mlitukana mamba wakati hajavuka mto
CCM OYÈEÈEEE
2026-10-01 18:55:40
3
misalaba :
safiii
2026-10-01 13:48:33
2
Massawe Junior🇹🇿 :
tz 🇹🇿 jau.
2026-10-01 15:34:59
2
Melody Tesha :
free lissu
2026-10-01 16:44:25
1
John kashiwa :
hope Tundulis
2026-10-01 19:30:56
2
Makene Muyengi :
Musaidieni tundu🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2026-10-01 15:57:56
1
Bernice🌹 :
✍️
2026-10-01 15:32:21
1
vaps49 :
🙏🙏🙏
2026-10-01 15:55:06
0
Mr & Mrs stan👨👩👧 :
free
2026-10-01 17:57:01
0
jmarick5 :
Waaohh,
2026-10-01 18:54:24
0
true voices :
Sisi wenye mismamo ya Ibrahim Traore na umoja wa Afrika unapowaona wazungu wanataka mtu Fulani ni wao na ujue tayari ni kibaraka Demokrasia ndio ukoloni mamboleo
Lisu ameshatiwa mfukoni kanuniliwa,
wakombozi wa Afrika hawawi vipenzi WA wanyonyaji na wakoloni Lise tayari ni kimeo
2026-10-01 19:45:24
0
TRUTH AND CERTAINTY :
hawa wanamsuport lissu kwasababu Kuna kitu wanakitaka sio vingine, ukweli ni kwamba lissu akipewa nchi Tanzania itauzwa na tutaanza kutawaliwa Tena maana lissu ni dikteta, Mungu tuepushe na lissu[Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-10-02 05:54:07
0
Dj Boy ☠❤☠🤫🎃☠☠ :
2026-10-02 07:08:15
0
Mkulu :
All the best
2026-10-01 17:49:20
1
Paul Melau 9⁹/ :
Free Tundu Lissu We need revolution New construction and Freedom of speed obadction not our culture
2026-10-01 16:47:44
1
To see more videos from user @chadematz, please go to the Tikwm
homepage.