@sea_food_lovers1: Mambo haya yapo kuanzia asubuhi , mchana na jioni Kama kwenye video unapata kwa 13,000 Makange kuku nusu Chapati 2 au mahamri 4 Pia unaweza kuagiza 👇 PORTIONS Kuku wa kukaanga nusu Maharage Chaoati 2 / Mahamri 4 Kukj kidebe nusu Maharage Chapati 2 au Mahamri 4 Kuku makange nusu Chapati 2 / Mahamri 4 Samaki nazi Chapati 2 / Mahamri 4 Samaki makange Chapati 2 / Mahamri 4 Samaki kidebe Maharage Chapati 2 / Mahamri 4 Samaki wa kukaanga Maharage Chapati 2 / Mahamri 4 Beef karai Chapati 2 / Mahamri 4 Chinese beef nazi Chapati 2 / Mahamri 4 Chinese beef kavu Maharage Chapati 2 / Mahamri 4 Mchicha nyama special Chapati 2 / Mahamri 4 Seafood nazi Chapati 2 / Mahamri 4 Vegetable mixed seafood Maharage Chapati 2 / Mahamri 4 Tunapatikana Kinondoni kituo cha studio Barabara ya Pinda Mtaa wa matitu Unaweza pia kutokea Kinondoni Makaburini Nyuma ya TX MARKET Tupo karibu na Kanisa La Pinda Mtaa wa Matitu Namba za kupiga +255 742 202040 +255 787 591000 +255 773 400000 +255 775 202040 +255 788 202040
Sea_food_lovers
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 14:32:07 GMT
Music
Download
Comments
Sala Frank :
Me naomba unitengenezee kachor
2026-10-01 16:09:54
0
maridhiyah :
mashaallah ila mm cjui nn shida mna nikila chapat na jitu km hyo nakinai mapema kulk nkl n maharagwe
2026-10-01 15:59:32
0
To see more videos from user @sea_food_lovers1, please go to the Tikwm
homepage.