@chamulungu_tv: BYCOLA AOMBA MANGE KIMAMBI ARUDI TANZANIA AJIBU TUHUMA ZINAZOMKABILI Bycola ameomba Mange Kimambi arudi Tanzania ili akabiliane na kujibu tuhuma zinazomkabili mbele ya vyombo vya sheria. Miongoni mwa tuhuma zilizoripotiwa ni madai ya utakatishaji wa fedha kiasi cha TSh milioni 138.5, ambapo upande wa mashtaka unadai fedha hizo zilikuwa mapato ya uhalifu. Pia kumekuwa na taarifa kuhusu madai yanayohusisha matumizi ya vitisho na uandishi wa habari bila kibali. Kauli hiyo inaibua ujumbe unaounganisha mjadala wa mitandaoni uliotumia kauli “Americans Help Tanzanians” na wito wa “BRING BACK MANGE KIMAMBI TO TANZANIA” — ukiwasilisha msimamo wa wanaotaka suala hilo lifikie hatua ya Mange kurejea nchini na kujibu tuhuma hizo kupitia taratibu za kisheria. BRING BACK MANGE KIMAMBI TO TANZANIA 🇹🇿 Anachotuhumiwa ni madai ya upande wa mashtaka; hatia yake haijaamuliwa na mahakama.
mnashindwa kuwataja wauwaji mnaangaika na watu ambao hawakuwepo kwenye mauwaji
2026-10-01 18:36:01
1
Omary Msangule :
kweli
2026-10-01 16:36:45
0
graceelias2027 :
Ni kweli hao kina mange wanatakiwa kushugulikiwa kisheria maana hao ndio sababu kina maria sarungi wote hao sheria inatakiwa ifanye kazi yake
2026-10-01 19:27:37
1
user2993510260071 :
mange ataletwa tu nchini ajibu mauwaji ya oct
2026-10-01 14:54:03
0
jenifer kaiza :
fact
2026-10-02 17:40:43
0
user Gemin :
Achananao
2026-10-02 07:35:49
0
Ba2 G :
utashangaa nani
2026-10-01 23:05:33
0
. :
Huyo sio wa kuhangaika nae kwa sababu ashajichanganya kushitaki walipa kodi kwenye Nchi yao wakati yeye anakwepa kodi na kuhujumu uchumi hiyo kazi watatusaidia matajiri
2026-10-01 18:09:12
0
Martina Kyando :
washuhulikie na watekaji na wàuwaji waliouwa watu wote washitakiwe washuhulikie kwani hao Sio wanamakosa ya jinai
2026-10-01 19:47:54
0
hebronmwamwaja :
nawewe
2026-10-02 12:32:25
0
Kala Mzuluvendi :
Mbona nyinyi mmekuwa tume ina maana Chande hakufanya kitu maana sasa hv machawa wamekuwa wanatoa maelekezo hii nchi inaenda wapi viongozi kuweni makini nyinyi ndyo mtalaumiwa
2026-10-02 21:32:09
0
To see more videos from user @chamulungu_tv, please go to the Tikwm
homepage.