na huo wimbo vyote vilivyotajwa ndo vipo duniani saa hivi
2026-10-03 07:44:12
75
beatricelucius4 :
ila rose alikua mbele ya muda sana yoote yanatokea sa hii daah!
2026-10-01 15:06:35
96
ABUH ‐🇰🇪 :
Rose muhando was ahead of time.
2026-10-02 21:34:16
0
TheOptimist🙏 :
Biblia imeeleza yote, wengi hatusomi tunaona kama utabiri
2026-10-04 09:56:10
2
Tito Elias :
Apo nikiwa sina ufahamu kabisaa
2026-10-02 10:05:01
11
j❤️ :
Zamani waimbaji walikuwa na maono wanaimba mambo Yajayo na nyimbo hazichuji skuizi nyimbo ikifika week mbili imepoteza upako Kabisa
2026-10-03 05:20:24
28
marycine :
nabii wa tanzania ni rose muhando
2026-10-02 08:37:58
52
TATA BM🦅🇹🇿(Newman) :
HUYU DADA ALIKUWA MBELE YA MUDA
2026-10-04 07:26:45
5
Happylicious :
unabii wowote wenye kusudi la mungu haupitwi na wakati kama hayapo yatakuja na ndipo tunakumbika kuuule ohhhh fulani alijuaje akaimba au akasema hivi ona sasa tangu 2000 wimbo umeimbwa lakin leo tuyaona nakusikia wazi wazi .
Mungu tuponye na haya aaaamen.🙏
2026-10-01 17:54:16
17
Martha H😋 :
tuliyokuwa tunayasikia kwenye nyimbo now tunayaona live yooooooh🥺🥺
2026-10-04 11:04:28
2
Vannah sweet cakes usagara mza :
ila roseeee🥰 mbele ya muda
2026-10-04 08:13:17
1
Gianna :
kumbe yaliimbwa jomon eeh mungu tusaidie
2026-10-03 09:31:45
6
Groly boniface :
Kipindi kile anaimba huu mwimbo yalikuwepo ila sahivi ndo yamezidi Mungu atusaidie tu
2026-10-04 10:25:42
1
Suzanyfe :
Rose handover alikuwa mbele ya mda kwelikweli
2026-10-03 16:49:04
4
Luc Ombeni :
ukweli narikiwa sana kwa hizi nyimbo za huyu maman
2026-10-01 15:38:25
3
Helena Helena :
nabii ulikuwa mbele ya muda
2026-10-02 15:35:01
8
Martinez Gavana :
Tumesikia mama
2026-10-02 10:07:09
5
verite :
ii nyimbo ni unabii kabisa
2026-10-03 11:18:09
1
Min me👌🏼🎶 :
Sahivi ndo tumeanza kuielewa hii nyimbo zamani tulijuwa Ni kelelee t
2026-10-03 13:00:06
3
Mami💐❤️ :
hizo time tunadance kanisani kweli huku tukijua watoto wananunuliwa hosipitalini😂😂😂kumbe wakati ilikua inakuja Kila mtu ataenuka na tabia yake😅Dunia ww
2026-10-04 05:17:28
1
debby king :
huu wimbo uko mbele ya muda akii
2026-10-03 05:37:53
2
neemagodfrey94 :
rose muhand alkuw mbele y mda,saiv ndo tunaelew uu wimbo
2026-10-03 11:21:28
2
Luc Ombeni :
asante ubarikiwe maman Rosa
2026-10-01 15:34:16
2
lightcute🦋 :
hii sauti ad rahaa
2026-10-03 02:33:35
2
To see more videos from user @moraasylivian1, please go to the Tikwm
homepage.