@360newz7: 😂😂😂😂

360Newz
360Newz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 14:41:53 GMT
183440
11380
1361
607

Music

Download

Comments

jackiee0831
jackiee :
Taifa la Mungu tumsifu YESU kristo 🙏
2026-10-01 16:57:01
238
islamsaid8146
sinnombi :
nabiiii wa mwishoo mtume muhammadi
2026-10-01 16:44:01
236
hamisidundo
Hamisi Mbaya :
yupo sahihi Nabii WA mwisho ni Muhammad pekee
2026-10-01 16:20:12
381
user4650612377422
flola :
mimi ni mkristo ila naungana na huyu kabisaaaaaa
2026-10-01 17:06:29
213
swifatkaldushi
cryselis :
tumswalie mtume wetu muhammad[s.a.w]
2026-10-01 17:58:44
97
ahmed.abdul.aziz32
Ahmed Abdul aziz :
yuko sahihi narudia tena yuko sahihi
2026-10-01 16:29:16
140
salama.hamid11
Salama Hamid :
mimi mwisilamu ila nampenda mwamposa
2026-10-01 18:56:02
8
mamawayesu2
R :
NAJIVUNIA KUWA MKATOLIKI TU.
2026-10-01 18:25:36
11
sniper3d66
Mr Balad :
Huyu mwamba ni jasiri nimekua namkubali sana
2026-10-01 17:50:40
45
maimartha50
mai martha50 :
hap nd kaongea point
2026-10-01 18:35:54
1
emanueldarashi
Emanuel Darashi :
kila mtu anatetea upande wake wapo manabii wa kweli wa mungu ila baadhi. pesa mbele
2026-10-01 17:12:10
20
jjm8596
JJM :
Sure bro
2026-10-01 18:58:18
1
daniel.samatu
Daniel Samatu :
Tz Richard wambie
2026-10-01 18:57:32
0
usdollar1999agent
Usdollar@1999. :
Manabiii wapo lkn sio hawa wanaonekana na kujitangaza kwa watu,ila wapo manabii ambao MUNGU amejisazia mpaka sasa,wapo wa kweli ila ni wachache sana na hawako Barabarani wapo kwa siri sana
2026-10-01 18:21:06
8
itc2081
itc :
proud to be muslim
2026-10-01 18:48:10
3
user9285610390035
St.Gisbart :
manabii wapo ila mitume mm ndo naamini hawapo
2026-10-01 18:03:29
6
estermsunza1
Esther msunza :
Kaka uliyo baki mwenye uelew ni ww tu honger sanaaa👏 mimi nilishasema kabuli hapo na mwa aniombe mimi mapema tu kabln kwani mi sita kuwa wakwanza✍️
2026-10-01 18:20:40
7
hadson622
hd :
AMEN in JESUS Name
2026-10-01 17:44:13
2
shijamathias01
Shija Mathias :
huo ni ukweli mtupu
2026-10-01 16:17:33
12
user3028230047750
zaitoon issangu :
Taqbir
2026-10-01 16:40:52
28
user1341762667907
ayoub :
huo niukweli kabisa aisee daah sema mwamba ukosawa hongera sana mungu akubariki kuwazindua wengine
2026-10-01 15:55:15
91
bee_havanna
Bee_Havanna🥰 :
Leo umemifurahisha Dr....
2026-10-01 16:17:28
17
johnson.zk
Johnson zk :
upo sahihi maana kibiblia sasaiv hamna nabiii manabiiii walishapita wakati kina isaya
2026-10-01 16:07:55
57
jeffmodo1
user1891636763567 :
Joel 2:28-30 Hata itakuwa, baada ya hayo, ya kwamba nitamimina roho yangu juu ya wote wenye mwili; na wana wenu, waume kwa wake, watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wataona maono;
2026-10-01 16:44:48
6
widdy.taita
widdy taita🎤🎸🎶 :
amini kakaangu wanaweza kukuona umechanganikiwa lakin ukweli mtupu
2026-10-01 17:12:23
16
To see more videos from user @360newz7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About