@islamicswahilinet: mwanzo mbaya sio tatizo, tatizo ni mwisho mbaya! Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 15:15:29 GMT
Music
Download
Comments
swalhita_ :
Tunaoangalia usiku wakuamkia ijumaa Allah atupe mwisho mwema 🤲🏻atufungulie maisha yenye kheri hapa duniani na kesho akhera 🤲🏻atungozee watoto wetu 🤲🏻
2026-10-01 19:11:08
13
user3861915366550 :
subhanaallah
2026-10-01 18:33:49
2
saidi :
sheikh mungu akubariki
2026-10-01 16:16:57
6
goodboyh7704 :
akubar
2026-10-01 19:10:08
2
Aisha Zilifa :
AMIN,,,,,, ALLAHUMM INI ASI ALLUKA HUSSUN ALIHATIM 🤲
2026-10-01 16:57:07
6
Rocha Ismail :
subuhanallah
2026-10-01 18:44:04
2
saifsaify20 :
Wallah maneno mazuri❤️
2026-10-01 19:44:53
1
regeye24 :
Amin
2026-10-01 16:55:30
2
Athumani mwira :
subuhanalah
2026-10-01 19:26:47
1
Mtsekerin08 :
Ameen
2026-10-01 18:17:16
1
Said Hamisi :
Subhanallah Allahu akbar 🥰🥰🥰
2026-10-01 18:54:38
1
Aisha Umar :
Amina
2026-10-01 18:12:33
1
Shayma Yusuf :
2026-10-01 17:42:39
1
Mwanah :
Mashaanllah
2026-10-01 18:06:32
2
asmini :
Allah Akbar
2026-10-01 19:21:57
1
boka boycaz :
Amiin
2026-10-01 18:53:29
1
Abdulaziz :
ameen
2026-10-01 17:47:42
1
@Sara Daudi :
Amina
2026-10-01 20:41:58
1
Madina Shaban :
Allah Akbar
2026-10-01 19:00:28
1
BABA YAGA :
2026-10-01 15:39:43
3
Adija Deo :
ameeeen
2026-10-01 15:52:45
2
Ashura hamisi :
Allah akibar
2026-10-01 16:03:21
4
Prince PIM :
kweli 😍😍🥰🥰
2026-10-01 15:44:55
2
Musah M :
Naam
2026-10-01 16:53:13
2
user4883972081398 :
hakuna MTU anazaliwa kafiri
2026-10-01 17:50:28
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.