@chilla_mabantu: IF YOU KNOW THE HITS, YOU KNOW THE VIBE! 🎤🔥 Mabantu wanakuja Marafiki na nyimbo zitakazofanya kila mtu aimbe kutoka verse ya kwanza hadi mwisho. 🎶 October hii, tunaimba pamoja Mabantu LIVE | Marafiki Arts Festival 2026 🎟️ Wahi Tiketi za Mapema: • Siku 1: TSH 10,000/= (badala ya 15,000/=) • Siku 2: TSH 20,000/= (badala ya 30,000/=) • Siku 3: TSH 30,000/= (badala ya 45,000/=) • Siku zote 4: TSH 35,000/= (badala ya 60,000/=) ⏳ Ofa inaishia 30 Septemba 2026. 📲 Tiketi kupitia NILIPE @nilipetz — link ipo kwenye bio. TAREHE & MAENEO Dar es Salaam 📍 8 Oct: @the_slow_leopard - Masaki 📍 9–10 Oct: @nafasiartspace - Mikocheni Bagamoyo 📍 11 Oct: @fireflybagamoyo 🎫 Tickets zinapatikana pia katika vituo vifuatavyo @goethetanzania | @asedeva_tanzania | @af_dar @nafasiartspace | @fireflybagamoyo | @muda_africa @cdeatz 📞 RSVP: +255 763 441 570 | +255 754 325 213 Marafiki Arts Festival 2026, tunakutana Oktoba. #MarafikiArtsFestival2026 #MarafikiSeason7 #TanzaniaCulture #SanaaTanzania #UbunifuNaUwezeshajiKiuchumiKwaVijana
Chilla_mabantu
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 16:03:45 GMT
Music
Download
Comments
RAMA Jonzing :
nini wanagu
2026-10-02 06:38:50
2
Naah clever❤ :
nomaaa
2026-10-02 04:11:27
1
×͜×𝑭𝒍𝒚𝑩𝒐𝒚✔️ :
MNAJUA WAKALI 🫡
2026-10-01 20:53:49
1
🔞🚭J..STAR✨✨🎇 :
Wimbo unaitwa je kak[Fire][Fire]
2026-10-01 19:08:50
2
Mkorea Mweusii👊🖐 :
aiseee nyimbo ikitoka na beat hili hilii lililopoa aisee itakuwa safii sana
2026-10-01 20:49:12
1
Da Chey Saidi :
usinisake moyoni upo mafichoo
2026-10-01 18:53:04
1
🦋 𝙏𝙧𝙖𝙣𝙦𝙪𝙞𝙡 ˚₊ 🌸 :
🥰🥰🥰
2026-10-01 18:01:39
0
To see more videos from user @chilla_mabantu, please go to the Tikwm
homepage.