ni kweli ndo yy mbon akama siamini maana huyu baba ananiuma jaman
2026-10-01 18:55:20
11
user2274307573959 :
Hapo Yupo Mbigun Siyo Dunian Hapo Jaman Msichanganye Mambo Hapa Dunian Tushampotezaga Hapo Alipo Ni Mbingun Anaenda Hyo Safari Anaenda Konana Na Malaika
2026-10-01 19:54:37
1
cutejane :
safi sana kaburi ni tajiri sana kuliko matajiri woto duniani
2026-10-01 17:19:04
3
arina the mother :
ya muda hiii
2026-10-01 19:46:30
2
user9759011477955 :
Kuna kanamna siyo bure
2026-10-01 19:14:55
4
Zabron Muna :
siamni km ndo yy
2026-10-01 19:27:21
1
Princess Rachel :
pole pole unajua alipo et
2026-10-01 18:14:01
2
MKUBWA KILEPA :
nakumbuka mlisema ajulikani alipo au
2026-10-01 19:36:47
4
Massawe Junior🇹🇿 :
uyu mjomba yupo 😊😂
2026-10-01 19:22:48
2
🇹🇿CHIDY BOY🔧🔧 :
polepole wa kuchaji😄😄
2026-10-01 19:36:43
2
nanagirl :
kumbe yupo
2026-10-01 19:37:52
1
Teacher :
Kaka Pole pole upo au wananidanganya ni AI.
2026-10-01 19:51:12
1
lady fina :
mungu tupe mwisho mwema kuliko mwanzo
2026-10-01 19:25:02
1
dtn :
we starbony usitu changanye kwa nini utu postie vitu vya zamani unajua una changanya watue
2026-10-01 20:15:09
0
gwau :
uko waap kaka
2026-10-01 18:55:06
1
rehema :
mulioelewa tueleweshe
2026-10-01 19:28:00
1
user2942835247245 :
kweli au eiyai
2026-10-01 19:48:41
1
dtn :
mshukuru mungu sana kak kwa kukulinda na kuku epusha na kifo nimefurah kukuona mungu azidi kukulinda daima ameen
2026-10-01 20:08:40
1
barankena 001 :
kumbe alipatikana[Tears of joy][Tears of joy],siasa bhana
2026-10-01 19:14:38
1
dorryerasto :
pole pole yupo kumbe
2026-10-01 18:33:42
1
Monicca :
Polepole yupo au mnatudagany
2026-10-01 18:18:14
1
amady :
nmefulai kukuona mzee wang pole pole asntee mungu
2026-10-01 21:55:47
0
Ed Dickson :
ayupo uyo
2026-10-01 20:37:46
0
Duke Jr :
ww upon jamn mungu akupe maisha maref
2026-10-01 23:11:59
0
To see more videos from user @starbony02, please go to the Tikwm
homepage.