@jamiivoice_: HABARI: Jeshi la Polisi nchini Zimbabwe limetoa taarifa mpya kuhusu ajali ya helikopta iliyotokea Septemba 30, 2026 katika eneo la Kudenga Farm, Marondera, na kuthibitisha kuwa helikopta hiyo ilikuwa na watu watano waliokuwemo ndani. Taarifa iliyotolewa na Jeshi hilo leo Oktoba 1, 2026 imesema wataalamu wa sayansi ya uchunguzi pamoja na wataalamu wa masuala ya anga tayari wamefika katika eneo la tukio kwa ajili ya uchunguzi na imewatambua waliokuwemo kwenye helikopta hiyo ni mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe Wicknell Munodaani Chivayo, mke wake Lucy Rujeko Muteke, Saneliswe Magagula, pamoja na marubani wawili ambao ni Calvin Tafirei Soda, aliyekuwa rubani, na Courage Mutavirva, aliyekuwa rubani msaidizi. Taarifa za awali zilizotolewa jana Septemba 30 zilidai kuwa waliokuwa kwenye ajali hiyo walikuwa watu sita wakiwemo watoto wa Chivayo jambo ambalo kwa mujibu wa taarifa hii ni kuwa yaliyodaiwa jana sio sahihi.

Jamii Voice
Jamii Voice
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 17:06:15 GMT
68634
1199
23
22

Music

Download

Comments

ripmapenz690
RIP Mapenz :
walikuwa wapi mbaka wawo awajafa Kwa i
2026-10-01 17:49:47
5
ngao_son
Ngao :
big amen
2026-10-01 18:11:20
1
shubybakama
Shuby Bakama :
mungu wangu hawa watoto wataishije😭😭😭😭
2026-10-01 19:52:24
3
missree005
𝑅𝑒𝑒 𝓈𝒽𝒾𝓇𝒾𝓂𝒶𝒽 :
inauma guys kupoyez wazaz wot wawili
2026-10-01 20:46:19
1
jovinajustinian14
Jovina Justinian :
pole sana watoto wazuri mungu awatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu
2026-10-01 18:31:43
2
mery.qamara
Mery qamara :
asant mungu
2026-10-01 17:38:26
1
asteriavalentine5
Aste Designer :
we ndo umesema ukweli
2026-10-01 18:56:41
1
mamamkwe2
mama.davis :
Bora ata bado ni wadogo mnoo jamani 🙏 mungu wangu naomba uwa saidie
2026-10-01 18:40:21
1
mariam.koroso
Mariam Koroso :
walikuqemo
2026-10-01 17:44:44
1
maria.chagga
Maria Chagga :
ashukuriwe mungu
2026-10-01 17:53:23
1
user9112467339384
aveline njaku :
poleni sana daaah
2026-10-01 20:55:34
0
user8586052465598
Mollel Paulo :
pole family yako
2026-10-01 18:33:53
0
maimartha12
Madame Boss 💖🍃🍀 :
sawaa
2026-10-01 18:16:34
0
naomikadenge480
Naomi Kadenge :
ako nawatoto wadogo
2026-10-01 18:02:25
0
marry29035
Mary :
maomb yngu yamejbiwa
2026-10-01 18:24:05
0
joelmussa3420
Joel Mussa :
walikuwemo
2026-10-01 17:36:27
0
user3478478199727
mrs po🫶 :
jmn me mwenzenu mbn nashndwa kuelewa mara walikuemo mara hawakuemo jmn
2026-10-01 18:23:48
0
titondugai267
tito ndugai :
weeeeeh 😂😂
2026-10-01 17:33:22
0
user1206911924460
user1206911924460imanimpole :
😭😭😭
2026-10-01 20:43:46
0
fred.selestino
Fred Selestino :
😁😁😁
2026-10-01 17:09:17
0
mercy_a87
Mercy :
🙏🙏🙏
2026-10-01 21:08:03
0
To see more videos from user @jamiivoice_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About