@upole08: Replying to @fyn.gurl11 @Flora unique zingatia maji ya bamia loweka usiku kunywa asubuhi ,loweka asubuhi kunywa jioni au usiku huto jutia msichana #typ #kenyantiktok🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿 #viraltiktok #foryourpage
Cha upole 🥰
Region: OM
Thursday 01 October 2026 17:30:20 GMT
Music
Download
Comments
me nshakunywa zaid ya miez miwil lkn ute hmn[Crying][Crying][Crying]
2026-10-07 10:33:17
1
NAira beuty :
mimi nimetumia kwa siki 3 sijaona matokeo jaman
2026-10-02 08:25:20
2
fine gurl🤗 :
asanteee
2026-10-01 17:31:58
1
@ its'_Ajrouh🙂🙃 :
si wengine tunachanganya na tangawiz na karafuu nyumba nzima tunakunywa kila asubuhi,m ni mmbea niacheni....
2026-10-01 19:28:52
2
neema james :
unakunywa
2026-10-01 19:12:23
1
Babydolly🥰🙈❤️ :
bamia
2026-10-01 20:03:33
2
Bint mpili :
uteee Wake balaaaa
2026-10-02 15:38:42
1
ayeshi :
unalowek kwa siku ngap
2026-10-03 14:17:05
1
Eminem♤ :
Yananyweka kweli
2026-10-01 20:11:12
1
Dem wa TikTok :
unachemsha ama
2026-10-04 17:33:41
1
candy💜 :
ladha yake ilinishindaa nlitapikaa nkaacha kabisaa😂
2026-10-03 20:39:19
1
lizzycharles05 :
Inafany kaz gan bby girl et
2026-10-01 17:46:21
1
neema :
kumeza hiyo yatak moyo mimi nilishindwa kbs
2026-10-03 16:11:14
1
nasra mapato🥳🥳🥳🥳🥳🥳 :
mi siku moja ute wa maana
2026-10-02 15:43:57
1
Eddy Pretty Girl ❤️ :
hii si alovera jamn au
2026-10-01 18:51:18
1
Natasha Ismail :
asant
2026-10-01 20:07:57
1
Mary🌹🦋 :
Unaloweka au unachemsha na ni kwa mda gan
2026-10-02 06:43:55
1
ayeshi :
samah unaloweka afu unakunywa au
2026-10-03 14:16:56
1
neema :
unaloweka au unachemsha
2026-10-06 18:12:25
1
Ashley ❤️ :
M leo nmelowekaa nitawapa majibu
2026-10-06 14:31:17
1
Miss t@ :
hii tiba ni ndani ya mda gani unaona matokeo dada angu
2026-10-04 17:13:26
1
❤️mishy beib 💖 :
ni ocra hio wailowesha kwa sku ngp ndio unywe
2026-10-02 09:55:52
1
Swuabu Mfaume :
Mm ninaushuhuda kwa hii kitu ni kiboko usichoke kutumia utaona matokeo mazur san
2026-10-02 19:02:23
1
To see more videos from user @upole08, please go to the Tikwm
homepage.