Harmonize amemaanisha Kajala ndio humuacha yeye kwa makosa madogo ambayo hua hajatulia kutaka ata tafakari ana block tu.Lakini yeye binafsi anampenda na zaidi hawezi ishi bila yeye ni ujana tu humsumbua dunia ni pana warembo ni wengi ila kwa sababu Kajala ana play part kubwa kwa maisha yake zaidi ya nusu ya maisha yake anai handle yeye kama mke wake kwa kumjali kwa hio ata iwe vipi ndio hua anashindwa ku move on.
2026-10-02 10:57:33
19
kidoty na biashara zake :
ila Aunt me nampenda bhana😅😅
2026-10-02 07:34:48
140
_elsie :
Nani mwingine haelewi harmonize anajibu nini?😂😂
2026-10-02 08:27:21
76
fenny :
harmonize is very mature compared to kj
2026-10-02 12:53:23
0
Mama KT💙💙 :
Harmonize kaongea jmn igweewww
2026-10-02 17:53:55
0
Loving❤️SARAH👑 :
andunje ana mbwembwe [Tears of joy]
2026-10-02 16:37:15
1
. ark mbwete :
mtu anaongea anachanganya mpaka anakuchanganya na wee msikilizaji daah!!!!😂😂😂😂
2026-10-02 07:27:49
102
£ - rwama# :
Eti Rajiiiiiiiii kama hayupo vile😁
2026-10-02 18:46:30
0
Mamy Iclam :
hila aunt
2026-10-02 17:01:22
0
Zaya🍀 :
Ila aunt😂😂
2026-10-02 09:36:07
1
lizylee :
ni essay😂
2026-10-02 14:04:23
5
mshai😍 :
if you listen carefully this guy utaelewa hamo is grown up man,
2026-10-02 12:29:54
13
DATUS PLUS :
Harmo anajitambua sana anakotoka na anakoenda much respect 🫡🫡🫡🫡🫡
2026-10-02 06:31:51
36
daynes🎧🎸❤️ :
kwahyo hapo jack na harmo ni maex mmh mm kajala nisingeweza
2026-10-02 06:36:46
32
ali :
waliomaliza kumsikiliza harmonize , jibu la swal n lipi
2026-10-02 09:16:34
27
Imani Alex Mpandula :
hamo ongea kiswahili
2026-10-02 06:35:43
25
ndelitto 🇹🇿 :
And that's where nyimbo ya mazoea inakuja!
2026-10-02 06:45:19
31
To see more videos from user @dstvtanzania, please go to the Tikwm
homepage.