@ommyfitness_: Unataka kupungua au kurekebisha afya yako, Kuwa makini na vitu hivi vitano. We Are Moving. . #ommyfitness #trainerwataifa
Trainer wa Taifa 👑
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 17:40:31 GMT
Music
Download
Comments
LuckyMe😇 :
mbona kama umelewa😂
2026-10-17 13:16:39
16
Stanley Safe🦅 :
basi tushinde njaa
2026-10-19 19:42:33
1
sailor :
We trainer Tutakufa tu::: sijui pombe bla bla😳
2026-10-18 13:13:07
4
Barbie🦋🧸 :
Tunywe nn sas jmn
2026-10-19 10:18:25
0
Fadhil Omar :
kaka kuna watu wapo vijinini uko alafu unataja kwa kingereza unawailimisha vp hao
2026-10-19 03:24:21
3
Doreen Mussa :
uzr mbingun tutapewa mwl mpya
2026-10-19 10:33:22
1
ßaddevy :
genz Kasema Umelewa😂
2026-10-19 11:12:46
1
Tores katelezu katelezu :
hakuna aliyesalama hapa duniani, acha mtu afanye anavyotaka
2026-10-19 19:33:10
0
abuuince :
duh asa mbona tunakula nin na kunywa nin bac tuchukue tukae kwako😂
2026-10-19 05:23:02
1
KOBUNA INTERIOR & DECOR :
maji dukan vip yanamathara gan?
2026-10-18 22:33:07
1
W :
asantee broo, kwa elimu
2026-10-19 16:36:05
0
Kipejunior :
toa na suluhisho la vyakula vinavyofaa sasa.
2026-10-17 11:53:30
1
Mrkin :
wakuu, tule nini sasa,,😂😂🤣🤣🫴
2026-10-19 12:07:38
0
Doppler effect :
wafunge tbl wange cocacola kwanza wafunge sbl wafunge pepsi
2026-10-02 14:51:43
1
Peter Msabaha :
nakubali kaka💯💯💯
2026-10-07 08:57:38
2
Abubackar Ramadhan :
pombe hatunywi na bange dry vp tusivute?? kwani kuna shido???
2026-10-16 14:56:23
2
Amani Mdami :
ishi miaka 100 mwanetu😏
2026-10-09 04:59:10
1
mozaa :
tano
2026-10-04 20:03:28
0
mja :
sasa tule nn jamani
2026-10-19 11:49:25
0
Mwajuma Ally26 :
Tano
2026-10-19 10:23:17
0
💫💥 ⭐ Jimmy-Tz✨🌟 :
💎 💯 🔥
2026-10-19 19:08:31
0
mhasibu :
ye hali chochote wala kunywa chochote
2026-10-19 12:01:33
0
Edward Francis :
mitandao pia ni shida
2026-10-19 15:28:38
0
Frank baguma🇿🇦 :
umesahau maji😂
2026-10-19 10:50:00
0
𝗕𝗘𝗡 𝗞𝗜𝗦𝗔𝗡𝗚𝗔 🇿🇦 :
Dahhh mambo ya kutishana week end haya!!!
2026-10-10 11:47:38
0
To see more videos from user @ommyfitness_, please go to the Tikwm
homepage.