@drchinja: Hutampata baba, mke au rafiki asiye na matatizo Allah ametaka dunia hii ijae vitu vinavyo pingana, wema na ubaya, furaha na huzuni, upendo na maumivu, afya na maradhi, wepesi na ugumu Hutapata katika dunia hii mwenza aliye kamilika au maisha yaliyo kamilika, kwasababu ukamilifu sio sifa ya hii dunia tunacho takiwa ni kurekebisha tunapo weza, kuvumilia pale inapo bidi na kusamehe makosa na madhaifu ya wengine "Na wasamehe na waachilie, Je hamtaki Allah awasamehe??" -Qur-an 24:22- DUA, TIBA, USHAURI, NASAHA DR CHINJA 0757154158 / 0617672595 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #oman🇴🇲 #qatar🇶🇦 #usa🇺🇸

DR CHINJA 🇹🇿
DR CHINJA 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 17:43:35 GMT
3400
277
19
8

Music

Download

Comments

mwanaidi.namohe
madamu nilmaa♥️♥️♥️ :
Mimi jamani univutia Sana nikiona Ivi nanyimbo mzul najikuta nasisimuka too
2026-10-30 10:30:00
1
rayruu_pretty
Ms_rayruuh_cute :
jaman hii nyimbo nilikuwa naiimba kwa bibi yangu kongoe🤣🤣 nimekumbuka mbal
2026-10-26 11:33:31
1
userug4a00fbpt
DR.CHEAF SALANDA :
nyimbo ya simba na ruhania
2026-10-02 15:55:45
0
federico.sangura
Federico sangura :
Nyimbo nzuri izo🥰🥰🥰
2026-10-02 20:02:48
0
mwana.saidy60
Mwana Saidy :
napend hzo nyimbo
2026-10-15 12:46:28
0
jujuhoney18
Juju honey :
nataka nikusaodie hiyokazi
2026-10-02 00:22:15
1
To see more videos from user @drchinja, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About