simple and classic "hatuna madeni" hii ndio nayoitaka mimi
2026-10-01 18:28:50
526
S&B Sportswear :
mama angu anataka hadi usiku wa vyombo😂😂
2026-10-01 18:47:27
499
keyzz :
Nani amwambie mama angu nataka kama hivi
2026-10-01 18:42:14
71
🫚 ginger🌸 :
Mmjenga au mmepanga?? Na ni maeneo gani??
2026-10-01 20:37:15
15
Glory Shop Kariakoo :
hii nimeipenda ndoa yenu ikawe baraka[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-01 18:16:03
117
✨happier🤍✝️ :
Natamani iwe ivi ila mama yangu oohh atabeba ukoo mzima😂
2026-10-01 18:39:02
233
Lucy P.gama€€land😍🤣🤣💯🤱🤗 :
waoow 🤗🤗♥️hii ndo future ndoa yangu soon in Jesus name
2026-10-01 21:02:21
0
𝓜𝓲𝓻𝓪𝓫𝓮𝓵💕 :
mm nilidhani mnaenda dinner for anniversary labda😭
2026-10-01 20:06:29
14
⚡️raha-fashionpoint💫 :
Mungu Kama mm kijora nirudi kariakoo
2026-10-02 10:23:06
24
🦋🦋leviee🦋🦋 :
Mama angu anvyowaza kurudisha michango yake kwenye harusi yangu hawezi kubali 😂😂😂😂 anataka mitunzo
2026-10-01 20:32:30
118
Butterfly🦋 :
Hiii ndoa ya watu wachache ndo kitu nimekuwa nakiota🥰very wooooooooow
2026-10-01 19:47:54
89
🤎RoseMinnah_looks_store🤎 :
Nimewaonesha wazaramo wenzangu wamesema ni Ai😂👍
2026-10-01 20:22:16
36
Miss choxy :
Inspired
2026-10-01 21:20:11
0
Nyota Essentials :
hii ndo naitaka jamani[Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-01 18:36:59
1
Jane kamandu :
tuone mambo ya church au bomani dear but congratulations 🥰
2026-10-01 19:22:46
1
laurreta :
I think this need to be normalised kwakweli 🥰 congratulations 🥂
2026-10-01 21:33:33
1
Pascal Carvon :
The real definition of two introverts by the way😂
2026-10-01 20:05:16
1
@am_gladinho 2103. :
Hongera wajina ❤️🔥… Glad wa 3 Leo naona harusi yake, Mungu nikumbuke na Glad Mimi
2026-10-01 18:46:58
5
Khadeejah💃🏻 :
Mama angu kila nikimwambia nataka kama hv ugomvi😂😂🙌🏻🙌🏻 anataka adi usiku wake wa kupongezwa😆😆
2026-10-02 01:23:11
19
PopcornFlicks19🍿 :
Ur wedding is exactly I want my wedding to be Yan Ile ufukweni pastor anafunga ndoa ndugu na mrfk wa Karibu Tu kadhaaa then baad ya viapo na Ndoa ni Kuna bufee ya Chakula hapo hapo ufukweni then harus imeisha hapo
2026-10-01 20:39:55
28
Jerome's VAULT :
Ngoja nimtumie mchumba angu
2026-10-01 18:49:35
6
Martha :
naitamani sana ilivo simple ila wanyakyusa hawatanielewa😂
2026-10-01 19:15:36
10
Ms.Glorie🌸 :
Na mm nataka kama hiv watu 20tu ila mama anguuuu sasa
2026-10-01 19:49:43
7
Nineteen :
hata ya dadangu haikutuacha na madeni, we had 550 guests n budget ilipitiliza
2026-10-01 21:41:56
6
To see more videos from user @the_tumboz, please go to the Tikwm
homepage.