@uzalendo_na_mabadiliko: SARAKASI KUHUSU SAKATA LA KATIBA MPYA NCHINI sehemu ya hotuba ya Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akihutubia Bunge la katiba marchi 21, 2014 Bingeni Dodoma Kwenye hotuba hiyo Dkt. Jakaya Kikwete alisisitiza na kuonyesha kuthamini Mchakato mzima wa katiba mpya huku akisema wajumbe watakapo hitimisha mchakato huo majina yao yataaandikwa kwa wino wa dhahabu Alikadhalika Dkt.Kiwete alisema ni kwa mara ya tatu Taifa linapitia mchakato huo huku akisema mwanzo ilikuwa kwenye kuunda katiba ya mpito ya Mwaka 1965 mara baada ya muungano wa Nchi zote mbili, na awamu ya pili zoezi hilo lilifanyika mwaka 1977 Mchakato huo haukukamilika hadi mwisho, ni miaka takribani 12 hadi sasa imepita unauona wapi mchakato wa katiba mpya? #UboraNaViwango #HakiNaUwajibikaji #UzalendoNaMabadiliko
thereafter what happened by people who didn't want changes
2026-10-01 19:25:51
0
user3611991609265 :
Pamoja na hotuba nzuri hii mchakato wa katiba ulivurugwa na hatimaye kuvunjika na kikundi cha vijana walioongozwa na Paul Makonda hata hivyo huyuhuyu anaeongea alimzawadia Paul Makonda ukuu wa wilaya ya Kinondoni. Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
2026-10-02 07:55:58
4
Beatrice Benson :
Huyuu ndio Rais pekee anaejua kulihutubia Taifa nakuongea na wananchi anaejali wananchi kuwapa ukweli
2026-10-02 04:39:57
3
user81369229374238 kasiaka851@ :
ni ya siku gani mbona nimemwona Lowassa
2026-10-02 03:13:38
0
Isaya Masudi :
akika maneno Aya yamereta matumaini
2026-10-02 06:02:58
0
drop exclusive :
hahahaha sas anae kataa tupate katiba ni nani
2026-10-02 06:58:02
1
Dizzah Media :
Alie kuja kulifanya hili taifa kudai katiba mpya ni adui alikua mzee magu lakini kama na yeye angekuja na nia ya dhati juu ya jambo hili basi hadi leo tusinge kua tunahangaika sema hatuwezi mlaumu ila kiufupi kwenye hili alitukosea!
2026-10-02 04:47:00
0
user8665033812129 :
hili lizee ni lisanii sana na bahati mbaya linaungwa mkono na wajinga wengi ndo maana Tanganyika imekwama pakubwa sana kiuchumi kielimu kisiasa na kiutamaduni. katiba mpya ni sasa Tanganyika yetu ni lazima tuikomboe
2026-10-02 07:18:53
1
Ngasa1993 :
rais wangu bora wa muda wooote
2026-10-02 08:49:39
0
johnmeena :
ponyesha taifa tukomikononi mwako wengne Wooster washakutupia zingo wapumzike kwa amani
2026-10-02 08:47:20
0
Glbaty Shartieli :
Mungu ibariki Tanzania
2026-10-02 07:42:37
0
Charles Magori :
akiwa rais hapo pinzani inasumbuwa inataka katiba
2026-10-02 07:10:34
0
Pro viewer :
kipindi cha huyu rais nyimbo za akina ROMA,KALAJEREMAYA ZILIKUWA ZINAPGWA LIVE
2026-10-02 07:30:51
0
Joyce emily :
zamani hii
2026-10-02 07:44:25
0
Fredy Felix :
mzee mwenye busara
2026-10-02 07:13:12
0
Abdul Hafidh :
frii Zanzibar
2026-10-02 06:47:24
0
Abdul Hafidh :
hamna lolote mlikula pesa na katiba hamjaileta
2026-10-02 06:48:52
6
japheti bungwa :
hizi point za mzee wetu mbona zilikua nifulaha tupu ukisikia kwa umakuni moyo unakua na fulaha na shagwe Moyoni Jaman
2026-10-02 03:22:19
0
Samwel Mlingi :
yamwaka gani hi9
2026-10-02 06:37:55
0
Angelo :
Waongo sana hawa sina imani nao tena maana walitunga kisha wakaitupilia mbali kwa kuiogopa kwamba wangefungwa na kutaifishwa mali zao kwa yale waliyoyatenda ikiwemo epa,escrow,richmond
2026-10-02 09:03:21
0
young swaah :
kinachohalibu mpango wa katiba ni nini
2026-10-02 08:45:47
0
Hussein Ramadhani :
sawa mkuu baba yetu
2026-10-02 08:55:06
0
MSHAURI :
wanasiasa sio wa kwel kipind hiki alikua yy rais,cha ajab anatutaka ss badala ya yy kufanya maamuz
2026-10-02 06:30:18
0
To see more videos from user @uzalendo_na_mabadiliko, please go to the Tikwm
homepage.