@drhussein34: ​Njia hii inataka imani ya hali ya juu sana na usafi wa mwili na roho. Kwanza kabisa kabla hujaanza kufanya kazi ya kuita roho hii au jinni huyu unatakiwa ​ufunge siku 3 bila kula chenye roho na wala bila kufanya tendo la ndoa, kisha unatakiwa maji yako ya kuoga uyatie marashi na poda. ​Utaandaa sanduku safi na utaweka tarasimu hii ambayo utakuwa umeichora kwa kutumia zafarani iliyo changanywa na damu yako mwenyewe kisha karatasi hiyo itie katikati ya sanduku lako na upulizie ndani ya sanduku marashi ya SENTIAGO kasha weka pesa kubwa ya nchi yako na katikati ya picha yako utaandika kiasi unacho kitaka kisha funika sanduku lako na chukua njiwa wawili jike na dume uwaweke katika kona za chumba chako unacho fanyia kazi, kisha wewe jipake poda kila eneo lenye kutoa jassho pamoja na katika nyayo na ujipulizie marashi ya SENTIAGO yenye mtoto, utajipulizia mwili mzima na baada ya hapo utaanza kutaja jina BARSHANI mara nyingi uwezavyo hadi usingizi ukushike. ​Utafanya zoezi hilo kwa muda wa siki3 kisha fungua sanduku lako na uone maajabu ya viumbe wa Allah. ​Kwanza kabisa hakikisha usiwe muoga na ujipange na majibu ya kiumbe ambae anaweza kuja yaani mmiliki wa jina hili kisha umwambie kiasi unacho kitaka, hakika atafanya, na pia anaweza asije katika macho bali ukaona mwanga hapo unaruhusiwa kusema uletewe nini. ​Kazi hii ianze siku ya juma 4 mwezi ukiwa mpevu na njiwa hao sio wa kuchinjwa bali wanatakiwa wawe wazima hadi atakapo kuja, maana wao ndo wana mvutano na kiumbe huyo, baada ya kufika kiumbe wako hapo unaweza kuwachinja na damu utaweka katika sahani nyeupe. #dr @Dr hussen

Dr hussen
Dr hussen
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 18:01:12 GMT
5118
296
11
24

Music

Download

Comments

jamilajumah650
jamilajumah650 :
jaman me cjaelew hii dua ya nn
2026-10-04 13:18:06
1
jumamuhanj
user2685975393964 :
sawa shekh,ila hakun SEHEM YA JINA LA MUME
2026-10-04 19:41:42
1
allykachepa
Ally Kachepa :
naandika jinalote ama nusu mifano juma naandika lote
2026-10-05 10:18:30
1
ubaya772000ubwela
@kimwemwe :
sawa
2026-10-02 15:42:52
0
queendg69
QueenD🙏💝G💞💥 :
❤️❤️❤️
2026-10-01 18:34:38
0
To see more videos from user @drhussein34, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About