https://youtu.be/xr6jMDadkRg?si=pG1yIQmyHjXYSBEb really life
2026-11-20 23:44:42
0
Mariachi :
mmmmh mangwair ni mkali sana
2026-10-02 03:03:24
1
young cheuh :
ivi mangwea alikuw ni mtu wa mkoa gan
2026-10-27 11:46:51
10
big boy :
oungo ngwair alikua haandiki muulize j moe
2026-10-02 04:49:54
11
Mohammed Murunga :
bysir nakukubali sana ndio lakn huwezi poteza ngwair really talk bro
2026-10-05 14:38:54
9
kingkola@chuganation :
Byser alipiga vitu ambavyo kila mmoja ameweza kuelewa Ila ngwea alikaza barz na kipind icho byser ndo alikua star sana ko kipaumbele kilicho mbeba n kuimbwa mistarii yakee sana kama tiktok kifanyiwa challenge ndo kipind icho mashuleni watu walikua wakipita mistari yake byser kwa akapelaaa
2026-10-07 19:25:05
3
shebydee :
kw ile ngoma ya bbm aaah ngwear ume mfunika vbyaa sanaa
2026-10-02 09:02:31
17
Banka kucha :
KAMA ULIVYOMPOTEZA JOSLIN KWENYE NGOMA YA DHAHABU
2026-10-24 16:36:34
2
zuhura :
Tabasau ulimaliza brother hakuna wa kukataa ilo naipeda
2026-10-06 13:47:33
4
kareem axis :
Albert mangwea mkalii kabixa
2026-10-04 09:31:45
2
Binamu dread locks :
sio cnn tu mchizi wangu na mpango mzima ya Eazy
2026-10-01 19:43:15
2
DANDU Jr :
Home boy🔥
2026-10-03 18:04:49
2
user4582117246511 :
ww nae nimkali
2026-10-06 20:15:38
3
Nyinda mgwanii💯🔥🤘🤟🇿🇦🇹🇿 :
noma xan babilon beezy
2026-10-14 16:41:24
2
timore :
interviews za blue 🔥🔥 all the time
2026-10-08 19:46:46
2
swed smart point :
ila Blue huwa hanaga mambo mengi,ana heshima sana
2026-10-22 12:34:51
3
Jadon master :
umempoteza wap dj play ngoma
2026-10-01 19:59:36
3
Anuwar 💥🇹🇿👊 :
Shika dabu yako uyo mkali sana broo alibati R i p 🦅🦅🙏🙏🥰🥰🥰
2026-10-04 18:28:35
2
👑prince 🤴 ellie :
nakubalii
2026-10-02 08:40:20
1
caprio_tz :
hapana bbm ngwair hajafunikwa
2026-10-02 05:28:47
1
yahya :
kazi na kazi sio kazi na dawa judge mental
2026-10-07 17:53:38
1
⏱️👑🗝🔗⚖️🏹 :
mangwea alikua mkali sio now
2026-10-10 11:28:53
1
masoudsengoda :
Walisema gwea amepotea ila si kweli kuwa amepotea nafkir walimaanisha kuwa byser kidogo kamsogelea lakin kiuhalisia Gwair ameua sana mule wazee
2026-10-08 07:42:16
1
Scolastika Gama :
nyimb gan
2026-11-09 04:24:50
0
Ramanga hr :
rapa genius mangwea akuna kama yey
2026-11-12 11:22:26
1
To see more videos from user @hiphop_neverdie73, please go to the Tikwm
homepage.