@hawaronaldo45: Kisamvu cha kuku wa kienyeji Kisamvu na kuku kutoka kwa @winfridaveggies ❤️ #creatorsearchinsights #foryou #fyp #foryoupage #fyppppppppppppppppppppppp

hawaronaldo45
hawaronaldo45
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 18:21:37 GMT
203685
6234
398
290

Music

Download

Comments

wa.g07
It’s renny :
Siwezi chafua kuku wangu kwa kisamvu 😂
2026-10-02 11:41:03
54
itz.mysarah_
🌹🦋 :
Swez kuharbu kuku wang kuku apewe heshima yake😂😂
2026-10-02 12:51:31
16
aymanbey3
Ms Ayman 💅🌸 :
Uwiiii nikiona kisamvu napagawa
2026-10-01 22:35:30
0
aika.george
Aika George :
uharibifu tu wa kuku kwanin sasa mlichinja wa kienyeji jamni mngechanganya na broila tu
2026-10-02 08:39:16
47
fahy451
Fahy45 :
Upishi is an art lakn hii hapn😂
2026-10-02 10:19:27
0
rayuunmamy05
rayuunmamy05 :
aaah hii mie hpn[Big LOL][Big LOL][Big LOL][Tears of joy]
2026-10-02 13:08:15
0
fatihya.online
fatihya online🛍️ :
Hawa ila kuku wa kienyeji bei yake c unaelew kwann umemfanyia ivyo 😳
2026-10-01 22:47:45
27
cute.nai7
da tee :
hiii ya leo hapana da hawa unaijua bei ya kuku lakini😂😂
2026-10-01 18:37:39
65
abbysbeautyglam0
abbysbeautyglam0 :
I don’t think I can try this 😂
2026-10-02 10:59:02
0
shuu0930
shuu :
hapana kwa kweli kuku na kisamvu😂😂😂
2026-10-02 09:25:08
18
fatma.lolo80
Fatma Lolo :
Cwez haribu kuku wangu ivooo weeee😂😂😂
2026-10-01 18:32:54
21
nomoredramaz
Malkia wa pwani :
very delicious
2026-10-02 15:19:08
0
nenepanahawa
nenepanahawa :
Hupika unajua wajina wng wachache ndo tunaelewa
2026-10-02 11:09:24
6
lightness845
Teelight🥰 :
huku nikumdharau kuku
2026-10-01 18:56:43
18
munirah.yeshi
Munirah Yeshi :
mmmh kukorogaa anajuwa mashaallah ongeraa kwa ukorogajii👌😂
2026-10-02 05:28:21
2
aysherhumaijary
Mom Rassam❤️🥰 :
Dada angu mimi[Red heart][Heartwarming]
2026-10-02 08:37:31
0
mamagianna13
Sabi :
kuku akuwa na makosa😂😂 amechanganywa na kisamvu
2026-10-02 05:45:26
16
user1994418105982
ms03 :
new recipe somo😅
2026-10-02 09:25:35
0
da.halima.katoto
Da Halima Katoto Ali :
wala hainogi hataaaa
2026-10-03 09:09:12
0
aminaomary864
Amina Omary :
nilijuwa nimemaliza kuona kumbe kuna vingine bado sikljaona😂🤣🤣
2026-10-03 08:04:42
0
user4940909949370
Halma Chris Brain :
mmmh! jmn labda wanipkie ugenini jmn mm siwez kuku anauma 🤣🤣🤣🤣🤣 ila pishi liko pambe jmn
2026-10-02 16:25:39
0
fatumaomari07
Fatuma Omari :
ndio kwanza najionea jmn kisanvu Cha kuku mh🤣
2026-10-02 19:14:28
0
groly844
groly844 :
Mi siwezi kualibu mboga yangu ivyo
2026-10-03 10:02:43
4
princessphiyaa
phiyaa :
Kama sija susiwa mimi na huomchanganyiko yaani 😂😂😂🙌🙌🙌
2026-10-02 10:46:50
2
mrs.g779
Jacque ❤️💍 :
vile naiheshimu kuku umenikosea sana🥺
2026-10-01 22:22:14
0
To see more videos from user @hawaronaldo45, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About